African Cup of Nations 2008

African Cup of Nations 2008

Kwa wale Mliopo US/Canada mnaweza kuona live Mashindano hayo kwa kupitia www.telesud.com kuna malipo madogo tu kwa mashindano yote!
 
Zambia wameifurahisha nami pia!

Wana timu zuri...sema watakwama kwa Cameroon na Misri!

Halafu wachezaji waote -Sudan na Zambia wote miili myembamba!! Utadhani hawali ugali wakashiba! Sasa ukiangalia wale wachezaji wa Cameruni wameshiba haswa!
 
Kameruni hawana chao mwaka huu....hio Zambia nakuambia inaweza kuwakimbiza na kulambishwa mvua kama walivyokimbizwa kwenye mapiramidi ya Pharao.
 
Zambia wameifurahisha nami pia!

Wana timu zuri...sema watakwama kwa Cameroon na Misri!

Halafu wachezaji waote -Sudan na Zambia wote miili myembamba!! Utadhani hawali ugali wakashiba! Sasa ukiangalia wale wachezaji wa Cameruni wameshiba haswa!

MH jana ndio nimegundua mpira sio ugali, si uliona mibaba ya Cameroon ilivyoshiba lakini waarabu wa Egypt waliwatoa kamasi, si ulikaona kale kajamaa kalikopiga bao mbili- Zidan? Kwa hiyo usishangae sana Zambia akimkung'uta Cameroon pia.
 
KKN,

ni kweli kabisaaaaa nakuunga mkono na mguu, kuwa na umbo kubwa hakuna maana utaweza kucheza mpira ama mchezo wowote vizuri kuna mambo mengi ambayo yanadetermine, hata Arsenal si unawaona wanvyotandaza soccer safi mwenyewe utawapenda lakini angalia miili yao?
 
ngaja nimalizie ugali wangu na hiki kipande cha nguru ili nisubiri mchezo wa leo
 
Duh Mazee umenifanya ni-salivate hapa vibaya mno yaani Ugali kwa Nguru maaaan ni mtamu vibaya vibaya sana na upate kachumbari pembeni hapo inakuwa raha kamili.
 
Diof ndani ya nyumba...

Niang ndani ya nyumba...

Jaidi ndani ya nyumba...

Dos Santos ndani ya nyumba...

Kazi ipo! Need updates?
 
Senegal 1 - Tunisia 1

46th Minute

Scored by M. Sall

And it's Half Time guys
 
Back
Top Bottom