Dilemma! Do I watch Zambia vs Sudan or Spurs vs Arsenal?
Dilemma! Do I watch Zambia vs Sudan or Spurs vs Arsenal?
Kameruni hawana chao mwaka huu....hio Zambia nakuambia inaweza kuwakimbiza na kulambishwa mvua kama walivyokimbizwa kwenye mapiramidi ya Pharao.Zambia wameifurahisha nami pia!
Wana timu zuri...sema watakwama kwa Cameroon na Misri!
Halafu wachezaji waote -Sudan na Zambia wote miili myembamba!! Utadhani hawali ugali wakashiba! Sasa ukiangalia wale wachezaji wa Cameruni wameshiba haswa!
Zambia wameifurahisha nami pia!
Wana timu zuri...sema watakwama kwa Cameroon na Misri!
Halafu wachezaji waote -Sudan na Zambia wote miili myembamba!! Utadhani hawali ugali wakashiba! Sasa ukiangalia wale wachezaji wa Cameruni wameshiba haswa!
MH jana ndio nimegundua mpira sio ugali, si uliona mibaba ya Cameroon ilivyoshiba lakini waarabu wa Egypt waliwatoa kamasi, si ulikaona kale kajamaa kalikopiga bao mbili- Zidan? Kwa hiyo usishangae sana Zambia akimkung'uta Cameroon pia.
Jembamba,
Ndugu yangu hivi bado upo? Ulipotelea wapi rafiki?
Hakuna cha kujisahau bwana jamaa walizidiwa mana walijiamini sana na hii ndio iliyowatokea sudani pia kwa zambia.Egypt 4 Cameroon 2
Egypt walikuwa serious zaidi! Naona Cameroni walijisahau ktk Defensi!
Duh Mazee umenifanya ni-salivate hapa vibaya mno yaani Ugali kwa Nguru maaaan ni mtamu vibaya vibaya sana na upate kachumbari pembeni hapo inakuwa raha kamili.ngaja nimalizie ugali wangu na hiki kipande cha nguru ili nisubiri mchezo wa leo