Utabiri so far unakwenda vizuri..ingawa ghana walikuwa pungufu kwenye second half ila walionesha mpira mzuri..EAGLes wakajipange kwa WORLD CUP wanatimu nzuri ila mapungufu yapo mbele.Ghana leo wamepambana kiume mbele ya mashabiki wao..tunasubiria hapa game ya Ivory natumai nayo itakuwa nzuri pia
Mpira ulikuwa mzuri lakini nilitaka waongezewe extra time kisha penalty...🙂 si unajua kama huna timu unayoshabikia basi unataka kabumbu liendelee tu...🙂. Nasubiri Ivory Coast na Guinea.
Ghana v Nigeria inaweza kuwa ndio game of the tournament, lots of excitement,dramas and goals, and that is what we ,as fans, want to see. Ngoja tusubiri kuona game zijazo...
Hapo kidogo umenichanginyi unapenda Guinea ashinde wakati huo huo unapenda game ya cote de vour..Leo hakuna ubishi na Game imeshaanza hapa Ivory wanashinda tu hakuna cha underdogs..Kwenye futbol mambo yanabadilika.Guinea anakibarua kigumu hapa..let see
Kweli hapa tumeshuhudia maajabu mtu kuachia miguu mwenzie akamwaga kojo mara tano!!!Wanasema majeruhi wameicost guinea ila walikuwa ni kitoweo tu mbele Tembo wenye njaa.Bado Kipa wa Ivory hajabikiriwa sijui nani atapata bahati hiyo..tunaendelea kusubiri majaabu ktk mechi zinazokuja
Go Ivory Coast!!..kutokana na kubanwa na shule sikubahatika kuangalia game hata moja ya African Cup of Nations...Jana niliona highlights tuu kwa mara ya kwanza..watu walinishangaa saaana kenye kebab shop LOL nikiruka baada ya kuona Magoli na Mpira wa Ivory Coast..Kwa kweli jamaa wapo juu...World Class Football...i hope they win...it pays off to have players abroad alooo...they sure made my day jana