African Cup of Nations 2008

African Cup of Nations 2008

Wazee msisahau Tanzania iko group moja na Cameroon kwenye world qualifiers, sasa kwa ambao mmebahatika kuiona stars mnadhani huo muziki tutaumudu?
 
misri weshapata bao mojja kwa penalti bao limefungwa na husni abdul rabi ktk dakika ya 22
 
tunaingia mapumziko misri ikiongoza kwa mabao 2 kwa moja

nnaangalia channel ya ART ya tunisia wanavyojilabu waarab utachukia
 
Tusisahau kuwa Misri ndio bingwa mtetezi, hawa waarabu fitness yao inatisha, sijui ndio mambo ya kutopiga tungi hayo?
 
Waarabu hawanywi pombe- ila wana ulevi mwingine!

Angola basi tena -hadi 2010!

Hili kombe na natamani liende West Afrika!
 
mpira umeisha na angola wametolewa

na waarab wanatabiri kombe wanalibeba wao kama si misri ni tunisia

haya kazi hiyo tusubiri mlimbwende uliobakia
 
Kwa mpira huu basi Maximo ana kibarua kigumu!

Wachezaji wetu sijui ni ulevi wa pombe na wanawake au sijui ni nini!!
 
na jengine hulewa misifa mape,a na kuwa watovu wa nidhamu

maana wangekuwa wachezaji nnazani hapo bongo pasingekalika

angalia wazanzibar huwa na adabu popote pale na nidhamu ni sehemu ya kupandisha kiwango

leo wachezaji hawaheshimu walimu wao, wao wajuaji kuliko walimu wao.

wakiambiwa kambi inaanza jumatatu wao huja baada ya wiki wengine huenda wamelewa.

kazi tena si ndogo sikwambii wakenda mahotelini huko nje kazi kuvamia mimalaya bila ya kujali kuwa wameenda kushindana,
 
Game ya kwanza ilikuwa nzuri sana..Bravo to Manucho kwa Goli zuri la kurudisha..Hii mechi inaonekana ingewezakwenda xtra time kama si umakini tu wa beki ya angola maana goli la pili nikama mwendawazimu kaokota mkoba wa mwizi..limemgonga tu zakhy basi watu wakarudi kati...ila utabiri wangu wa robo unakwenda vyema tunasubiria Game safi after 3minutes to come
 
mpira umeisha na angola wametolewa

na waarab wanatabiri kombe wanalibeba wao kama si misri ni tunisia

haya kazi hiyo tusubiri mlimbwende uliobakia

[COLOR="Navy" said:
Mzalendohalisi;135096]Kwa mpira huu basi Maximo ana kibarua kigumu!

Wachezaji wetu sijui ni ulevi wa pombe na wanawake au sijui ni nini!![/COLOR]

Bongo tunasafari ndefu sana kwenye soka..tusitegemee miujiza yoyote kunako soka..cameroon wapo kwenye class tofauti nasi.Maximo atabeba lawama za bure tu ila Bongo sijui tufanywe nini kwa sasa..kama pombe mbona hata ulaya kuna vya pombe wengi tu(Gerrard) ila bado wanasukuma gozi vizuri...
 
na jengine hulewa misifa mape,a na kuwa watovu wa nidhamu

maana wangekuwa wachezaji nnazani hapo bongo pasingekalika

angalia wazanzibar huwa na adabu popote pale na nidhamu ni sehemu ya kupandisha kiwango
leo wachezaji hawaheshimu walimu wao, wao wajuaji kuliko walimu wao.

wakiambiwa kambi inaanza jumatatu wao huja baada ya wiki wengine huenda wamelewa.

kazi tena si ndogo sikwambii wakenda mahotelini huko nje kazi kuvamia mimalaya bila ya kujali kuwa wameenda kushindana,
Wakati nikiendelea kusubiri matokeo nimeona bora niongeze kitu hapa.

Karume Boys ni vijana wadogo, Ila walinishangaza siku moja, sikujua kuwa ni watu wa ze laga na changudoa. Siku hiyo baada ya kushikishwa mshiko na Mh. Karume walifanya balaa za ajabu pale kisiwani. Walianza kukamua kwa spiidi ya nguvu Bwawani hotel (kwenye disco) mbaya zaidi walichukua mbaya mbovu za Jozani -Miembeni. Vichangu vile baada ya disco kwisha waliwachukua vijana hao na kwenda nao Jozani (after part) sasa huko ndio moto uliwaka kwani baa ile haifungwi na ina vyumba hapo hapo...

Anyway leta matokeao kamanda... antenna yangu leo imepoteza mawasiliano
 
Back
Top Bottom