Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
- Thread starter
- #141
Wazee msisahau Tanzania iko group moja na Cameroon kwenye world qualifiers, sasa kwa ambao mmebahatika kuiona stars mnadhani huo muziki tutaumudu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpira umeisha na angola wametolewa
na waarab wanatabiri kombe wanalibeba wao kama si misri ni tunisia
haya kazi hiyo tusubiri mlimbwende uliobakia
[COLOR="Navy" said:Mzalendohalisi;135096]Kwa mpira huu basi Maximo ana kibarua kigumu!
Wachezaji wetu sijui ni ulevi wa pombe na wanawake au sijui ni nini!![/COLOR]
Wakati nikiendelea kusubiri matokeo nimeona bora niongeze kitu hapa.na jengine hulewa misifa mape,a na kuwa watovu wa nidhamu
maana wangekuwa wachezaji nnazani hapo bongo pasingekalika
angalia wazanzibar huwa na adabu popote pale na nidhamu ni sehemu ya kupandisha kiwango
leo wachezaji hawaheshimu walimu wao, wao wajuaji kuliko walimu wao.
wakiambiwa kambi inaanza jumatatu wao huja baada ya wiki wengine huenda wamelewa.
kazi tena si ndogo sikwambii wakenda mahotelini huko nje kazi kuvamia mimalaya bila ya kujali kuwa wameenda kushindana,