African facts zone: hizi ni timu zenye mashabiki wengi Africa Yanga ya pili

Hujajib hoja yake mana huna akili za kujibu labda usaidiwe na majini,
Iweje timu yenye followers wengi kwenye social networks kubwa iwe ya mwisho..

Ushabiki maandazi. Simba itakuepo milele daima utakufa utaiacha , and you will carry your hate to your grave.
Mashabiki wengi ni wazee hivo hawana smart phone, inasemekana
 
Is this question for me ? We unajua research inavyofanyika mkuu?.. Anyways walisambaza questionnaires…
Research ni maswala ambayo yapo systematic inahusisha mchakato mpana wa vitu vingi katika utafiti.

Ikiwemo survey

Hao questionnaires mbona huku kwetu hawakupita?
 
Mashabiki wengi ni wazee hivo hawana smart phone, inasemekana
Assume hilo ni kweli.

Swali la kujiuliza hao waliotoa hizi data waliwafikiaje hao wazee na kuwahesabu mpaka kupata namba hizo?
 
Research ni maswala ambayo yapo systematic inahusisha mchakato mpana wa vitu vingi katika utafiti.

Ikiwemo survey

Hao questionnaires mbona huku kwetu hawakupita?
Walete questionnaires tandahimba ? Kwanini wewe wakuweke kwenye sample space yao ? Haukua sehemu ya sample space mkuu so RELAX, the whole thing didn’t involve you so keep it locked, zip it…
 
Kwanini Tandahimba sio sehemu ya Tanzania?

Hujasoma takwimu zimetaja Tanzania?

Tandahimba hakuna mashabiki wa mpira? Sasa kwanini wasifike?

Nani kasema nataka niwe kwenye sample space yao?

Mimi nahoji authenticity ya hiyo takwimu jinsi ilivyofanyika mpaka ku-finalize kuwa Tanzania kuna mashabiki 35M wa Yanga.

Questionnaire ni jibu batili kwasababu hata shabiki wa Namungo anaweza kusema Tanzania timu ya Namungo ina mashabiki milion 40, na haja ya kuthibitisha sehemu zilipofanyika survey.

Lile jibu lako la kwamba sio lazima Questionnaires wapite maeneo yenu linaweza kutumika dhidi yako kuonesha kwanini Namungo ina mashabiki wengi kuliko Yanga.
 
Kwanini unajaribu kwa nguvu kubwa sana kuonyesha hii taarifa ni ya uwongo ? Mkuu fanya na wewe research yako ? Kwanini hawa jamaa wawe biased unadhani ?
 
The same Question, kwanini unatumia nguvu kubwa kuonesha hii ripoti ni ya kweli?

Mimi nitakujibu hivi.

Kwasababu imekosa vigezo vya kuifanya iwe ya ukweli

Kwasababu wote tunajua hakuna sensa ya nyumba kwa nyumba iliyofanyika kuhesabu mashabiki wa timu.

Na pia tukiangalia katika orodha ya timu zenye mashabiki wengi ni zile ambazo zina followers wengi mitandaoni.

Kwa maana hiyo kigezo kilichotumika ni kuangalia ushawishi wa hizo Clubs kwenye idadi ya wafuasi mitandaoni.

Nje na hapo haiwezekaniki kusema Club fulani ina mashabiki wengi kuliko nyingine.

Lakini chanzo chenu kimeonesha ndivyo sivyo yani Club iliyokuwa na followers wengi kwenye mitandao ya kijamii ndio Club iliyozidiwa mara 3 kwa idadi ya mashabiki.

Tupeni mchanganuo hilo limezekanaje?

Moja ya utetezi wenu ambao kila mmoja nimemuona akiutoa ni kusema mashabiki wa Yanga wengi hawatumii social media.

Kwa fact ni kwamba hao researchers ili wawafikie hao watu wasiotumia mitandao ilibidi kuwafuata majumbani kwao nyumba kwa nyuma (jambo ambalo haliwezekani)

Lakini pia nimewaoneshea mfano wa timu nyingine kuja na madai kama hayo kusema yenyewe ina mashabiki wengi kuliko nyinyi ila msitumie kigezo cha followers kwasababu mashabiki wao hawatumii social media zaidi kuliko nyie.

Hamjaonesha jinsi gani mnaweza ku dispute hiyo hoja mpaka sasa.

Kwa hiyo mpaka hapo tushajua kuwa kigezo cha kusema mashabiki wengi hawatumii social media ni kigezo ambacho kinaweza kutoa ushindi kwa mshindani asiyekuwa halali.
 
Aisee tukisema labda wametumia kigezo kuwa Yanga ndio the most successfull club in Tanzania watakuwa wamekosea ? We research hutak kufanya ila kwa ya wenzako unakuwa biased, research ngapi zinafanyika tz na hazipiti kwenu na zinainvolve tanzania nzima , kwani research lazima ipite every household ?
 
Bahati mbaya successful haioneshi namba za mashabiki inaonesha namba za makombe.

Hayaoneshi ni level gani ya mafanikio ambayo Club ikiyafikia idadi fulani ya mashabiki inaongezeka.

Lakini hata tukisema tutumie hiyo kama fact bado itapwaya kwasababu Kaizer Chiefs ndio Club ya pili kwa idadi ya makombe barani Afrika

Kaizer Chiefs ina jumla ya makombe 93 wakati Yanga ina jumla ya makombe around 50

Lakini tukija kwenye namba za mashabiki kwa mujibu wa hicho chanzo chenu, Kaizer Chiefs mwenye makombe mengi kuliko Yanga kazidiwa mashabiki mara mbili na Yanga.
 
The same Question, kwanini unatumia nguvu kubwa kuonesha hii ripoti ni ya kweli?

Mimi nitakujibu hivi.

Kwasababu imekosa vigezo vya kuifanya iwe ya ukweli

Kwasababu wote tunajua hakuna sensa ya nyumba kwa nyumba iliyofanyika kuhesabu mashabiki wa timu.

Na pia tukiangalia katika orodha ya timu zenye mashabiki wengi ni zile ambazo zina followers wengi mitandaoni.

Kwa maana hiyo kigezo kilichotumika ni kuangalia ushawishi wa hizo Clubs kwenye idadi ya wafuasi mitandaoni.

Nje na hapo haiwezekaniki kusema Club fulani ina mashabiki wengi kuliko nyingine.

Lakini chanzo chenu kimeonesha ndivyo sivyo yani Club iliyokuwa na followers wengi kwenye mitandao ya kijamii ndio Club iliyozidiwa mara 3 kwa idadi ya mashabiki.

Tupeni mchanganuo hilo limezekanaje?

Moja ya utetezi wenu ambao kila mmoja nimemuona akiutoa ni kusema mashabiki wa Yanga wengi hawatumii social media.

Kwa fact ni kwamba hao researchers ili wawafikie hao watu wasiotumia mitandao ilibidi kuwafuata majumbani kwao nyumba kwa nyuma (jambo ambalo haliwezekani)

Lakini pia nimewaoneshea mfano wa timu nyingine kuja na madai kama hayo kusema yenyewe ina mashabiki wengi kuliko nyinyi ila msitumie kigezo cha followers kwasababu mashabiki wao hawatumii social media zaidi kuliko nyie.

Hamjaonesha jinsi gani mnaweza ku dispute hiyo hoja mpaka sasa.

Kwa hiyo mpaka hapo tushajua kuwa kigezo cha kusema mashabiki wengi hawatumii social media ni kigezo ambacho kinaweza kutoa ushindi kwa mshindani asiyekuwa halali.
Hii siyo Kwa TZ mkuu....ni Kwa Africa yote

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom