Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Michuano ya African Football League ambayo mwanzo ilipewa jina la Africa Super League kuanza kutimua vumbi lake mwezi wa kumi, na Mchezo wa ufunguzi ni ndani ya Tanzania katika Jiji la Dar es Salaam.
Katika Michuano hiyo Mikubwa inayoanza kwa mara ya kwanza mwaka huu nchi ya Tanzania inawakilishwa na Timu ya Simba pekee na saba nyingine ni kutoka katika mataifa mengine.
Katika Michuano hiyo Mikubwa inayoanza kwa mara ya kwanza mwaka huu nchi ya Tanzania inawakilishwa na Timu ya Simba pekee na saba nyingine ni kutoka katika mataifa mengine.