fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Je huyo aliyebeba hilo kombe dhidi ya Yanga maybe yupo? Ukipata hilo jibu hautashangaa kujua kumbe ni kombe la malosersš¤£š¤£Mbona Yanga hawapo wakati wamechukua mpaka medali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je huyo aliyebeba hilo kombe dhidi ya Yanga maybe yupo? Ukipata hilo jibu hautashangaa kujua kumbe ni kombe la malosersš¤£š¤£Mbona Yanga hawapo wakati wamechukua mpaka medali?
Mkuu utatobolewa macho.ohooooCAF wenyewe wameona michuano tangu Yanga afike hatua ile wakaona ni kama the whole tournament has been cursed.
Yanga wamekuja na nuksi ambayo CAF imewalazimu wabadili sheria.
Ni kweli walikuwa na mpango mzuri wa kuwapa waliofeli nafasi ya kusawazisha makosa yao, ila hawakutegemea nafasi hiyo ishikwe na loser wa kiwango cha mwisho kabisa ambaye rekodi yake ya afadhali unaiona miaka 30 nyuma.
Walitegemea wakubwa kwa wakubwa wakizidiana mbinu basi play off ya Confederation ndio itakuwa second chance.
Sasa walivyoona access hiyo imeenda kwa timu mbovu imewabidi wabadili sheria.
Maneno fcCAF wenyewe wameona michuano tangu Yanga afike hatua ile wakaona ni kama the whole tournament has been cursed.
Yanga wamekuja na nuksi ambayo CAF imewalazimu wabadili sheria.
Ni kweli walikuwa na mpango mzuri wa kuwapa waliofeli nafasi ya kusawazisha makosa yao, ila hawakutegemea nafasi hiyo ishikwe na loser wa kiwango cha mwisho kabisa ambaye rekodi yake ya afadhali unaiona miaka 30 nyuma.
Walitegemea wakubwa kwa wakubwa wakizidiana mbinu basi play off ya Confederation ndio itakuwa second chance.
Sasa walivyoona access hiyo imeenda kwa timu mbovu imewabidi wabadili sheria.
Supercup nafasi zake zipo wazi kwa kila timu yenye uwezo. Mpira siyo manenoCAF watajutia kuipa Simba nafasi au kama lengo lao ni kuifanya nchi yetu iaibike Kwa Simba kufungwa mechi zote Ili timu zao ziheshimike zaidi basi sawa!
Hawa Simba vibonde wa ligi ya Klabu bingwa Africa watatutia aibu sana!
Mechi ya Ufunguzi Lupaso imejaa mbumbumbu fc fans Al Ahly 5 - Simba 0!
Yanga imefika fainali Shirikisho Africa na kuifanya Dunia ijivunie soka la Tanzania CAF hawawezi kuijumuisha wanajua Yanga ya makombe ni hatari.
Kwenye msafara wa Mamba kenge Huwa hawakosi nao huwa wamo wanasindikiza mabosi kwa kubeba mabegi na viatu vya mamba!
hapo Kuna timu imewekewa vibonde kama Simba Ili ibebe kombe na kukuzwa jina, weka Yanga uone kazi kombe lingebaki bongo!
Yanga Kuna wachezaji ukiwataza nyuso zao unaona jinsi wanakamia ushindi uje Kwa lazima Musonda, Kibwana, Moloko, Mayele, Bacca na Mudathir! Simba wachezaji wote goigoi hakuna mwenye mzuka wa ushindi labda kidooogo Saidoo!