Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Wakikuuliza nitag tafadhali..Ukubwa wa Simba..kuna mwenye swali?
Tukipata kitu hapo, halafu baada ya miaka mingi wakajitokeza na kuvumavuma watasema mashindano hayapo kama walivyosema baada ya kubahatisha shirikisho juzi kati.Kule Jangwani wanajua Yanga ataanzia away
CAF wenyewe wameona michuano tangu Yanga afike hatua ile wakaona ni kama the whole tournament has been cursed.Tukipata kitu hapo, halafu baada ya miaka mingi wakajitokeza na kuvumavuma watasema mashindano hayapo kama walivyosema baada ya kubahatisha shirikisho juzi kati.
Mimi ninalo..!! Mmeteuliwa au kuna mechi mmeshinda kwenda kushiriki mashindano hayo?Ukubwa wa Simba..kuna mwenye swali?
Jiulize kwanini wale wa medali hawakuteuliwaMimi ninalo..!! Mmeteuliwa au kuna mechi mmeshinda kwenda kushiriki mashindano hayo?
Dr RestartMimi ninalo..!! Mmeteuliwa au kuna mechi mmeshinda kwenda kushiriki mashindano hayo?
Mbona Yanga hawapo wakati wamechukua mpaka medali?Michuano ya African Football League ambayo mwanzo ilipewa jina la Africa Super League kuanza kutimua vumbi lake mwezi wa kumi, na Mchezo wa ufunguzi ni ndani ya Tanzania katika Jiji la Dar es Salaam.
Katika Michuano hiyo Mikubwa inayoanza kwa mara ya kwanza mwaka huu nchi ya Tanzania inawakilishwa na Timu ya Simba pekee na saba nyingine ni kutoka katika mataifa mengine.
Hata mimi nashangaa na wamefanya vizuri kuliko Simba kwenye mechi za kimataifa. Nasema uongo ndugu zangu?Jiulize kwanini wale wa medali hawakuteuliwa
Mtani, hili ndo jibu la swali langu?Jiulize kwanini wale wa medali hawakuteuliwa
Napenda inaze nianze kushuhidui aibu za mapema.Kule Jangwani wanajua Yanga ataanzia away
Na bado, msimu ukiisha watabadili tena kanuni wasema timu ya Waafrika weusi inayoweza kucheza ugenini kama nyumbani ni marufuku kushiriki mashindano yanayosimamiwa na CAF.CAF wenyewe wameona michuano tangu Yanga afike hatua ile wakaona ni kama the whole tournament has been cursed.
Yanga wamekuja na nuksi ambayo CAF imewalazimu wabadili sheria.
Ni kweli walikuwa na mpango mzuri wa kuwapa waliofeli nafasi ya kusawazisha makosa yao, ila hawakutegemea nafasi hiyo ishikwe na loser wa kiwango cha mwisho kabisa ambaye rekodi yake ya afadhali unaiona miaka 30 nyuma.
Walitegemea wakubwa kwa wakubwa wakizidiana mbinu basi play off ya Confederation ndio itakuwa second chance.
Sasa walivyoona access hiyo imeenda kwa timu mbovu imewabidi wabadili sheria.