African Grand Prix nitaenda. Tuombeane uzima tu!

Kenya wapo na WRC Safari Rally. Sisi tungekomaa na Safari Rally kwanza. Zamani ilikuwa inafanyika Nchi zote 3 za East Africa, gari za Rally zilikuwa zinatoka Kenya wanakuja Arusha,Tanga,Morogoro,Iringa na Mbeya.

Mpaka wazungu wakakubali East Africa Safari Rally ni Rally ngumu kuzidi Dakar Rally
 
Rally iliyofanyika Kenya ilikuwa live DStv, alafu ilikuwa kwenye mbuga ya wanyama ni utalii Tosha
Tanzania tunakwama sana
 
Big turbo,electric charge,lightweight. Ina kama kilo 700 hivi na vikorpkoro vingi vinavyosaidia aerodynamics advantages.
Nilikuwa nafuatilia hizo gari za formula 1 baada ya kushangaa how ile speed yote halafu engine ni 1.6 liter, sasa katika kuangalia wataalamu mbali mbali nilisikia hio point ya aerodynamic, kwamba haina ukinzani mkubwa na upepo hivyo inaweza penya vyema kwenye upepo pasipo kutumia nguvu nyingi...

Akaelezea pia low center of gravity, kwamba hio gari hata katika speed kubwa sana inakata kona na haitelezi...

Lengo la kurudi hapa ni kwamba, nimeona tesla roadster, ile gari mpaka inaweza kukaa juu chini na chini juu... na inatembea...

Hii ina maana ile gari tesla roadster ikiwekwa na gari la formula one, nadhani ile tesla inaweza kupiga kona kali kwenye speed kubwa ambapo gari ya F1 itashindwa ...

Maana naona roadster inaweza kukamata ardhi vizuri zaidi kuliko F1....

Mad Max
 
F1 cars zina regulations. Spec za F1 car sio sawa na za Tesla roadster.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…