poleni na majukum wana Jf, kwa mwenye kufahamu zaidi juu ya African life Assuarance naomba anijuze, walikuja kazini wakitafuta wanachama, nilisita kujiunga sababu ndo mara yangu ya kwanza kuisikia. Kwa ambae ni mwanachama au anafaham zaidi naomba anisaidie kunipa taarifa.
mimi mwenyewe ni mwanachama ila nalipiwa na kampuni.
Hawa wanatoa bima ya maisha ambayo wataifaidi familia yako wewe ukifa.Mfano wewe UKIFA warithi wako wanalipwa mshahara wako wa miaka 3
au ukipata ulemavu wa kudumu unalipwa kiasi kadhaa......ni maelezo mengi
kwa maelezo zaidi nenda ofisini kwao