ipocku
Senior Member
- Feb 27, 2014
- 111
- 32
Poleni na majukumu wana Jf,
Kwa mwenye kufahamu zaidi juu ya African life Assuarance naomba anijuze, walikuja kazini wakitafuta wanachama, nilisita kujiunga sababu ndo mara yangu ya kwanza kuisikia.
Kwa ambaye ni mwanachama au anafahamu zaidi naomba anisaidie kunipa taarifa.