Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ilikuwa inaipa ruzuku ATC kila mwezi na pia kulikuwa na account kule South Afrika ambayo ilikuwa inatumika kuilimbikizia madeni ATC bila wao kuhakiki na mpaka sasa wanaidai ATCL millions of $!! Kwamisingi hiyo huwezi kusema kuwa hakakuwa na kitu cha kukomba pale.Ilibidi serikali ishtuke mpaka wakasimamisha ruzuku waliokuwa wanatoa kila mwezi kwani matumizi yake yalikuwa ya utata! RA na Ruhinda walikuwa shareholders wa Mwananchi Communications; unajua jinsi walivyoondoka na nani alinunua share zao? GT yule rafiki yako anavyotuibia kwenye pension funds zetu , unaweza kuona wizi wake kwenye Audited Accounts? Nyie wezi mnajua jinsi mnavyo docror hizo accounts zenu!!
Huyu ni Mtanzania ambaye to be honest is quite an inspiration kwangu na namuombea M/Mungu amzidishie lakini pia ningependa kujua maoni ya wengine kuhusu huyu bwana
Siyo wote wanamjua Bwana Ali Mufuruki nivema ungeweka wajii wake na fikiri hii ingekaa vizuri nakama nikumjadili ajadiliwe kutokana na wajii siyo kutokana na mapenzi yako mwenyewe!!Naomba kuwakilisha!Huyu ni Mtanzania ambaye to be honest is quite an inspiration kwangu na namuombea M/Mungu amzidishie lakini pia ningependa kujua maoni ya wengine kuhusu huyu bwana
huyu ni mtanzania ambaye to be honest is quite an inspiration kwangu na namuombea m/mungu amzidishie lakini pia ningependa kujua maoni ya wengine kuhusu huyu bwana
mbona huyo Paul mashauri anavaa suti zimembana namna hiyo?
anauza nini? mbona husemi?
Ni mmiliki wa jengo na kampuni ya Infotech pale Kawe round about na ametoka through technology business