African Millionaires: Ali Mufuruki

Behind every great fortune there is a great crime.
 
Baelezee Pundamilia always mi nakuwa na shaka na mamilionea wetu bana kumbe wanakuwa vivuri au wapambe wa wenye nazo,kumbe Ali ni mtu wa kutumwa tu na Aghakhani loh,na jee hawa mamilionia wengine wanaoimbwa na wazairwa kila kwenye wimbo nao mtasema kweli hizo njuruku wanazipata kihalari?
 

Ni kweli Bulesi, account iliyokuwa South African Airways hii inaonesha kitovu cha uzembe au hujuma. Ile account hakuna mtu yeyote aliyekuwa na mamlaka ya kuhoji nini kinachowekwa au kutolewa. Madeni ambayo watanzania tunadaiwa leo na SAA chanzo chake ni hujuma na uzembe wa Bodi au tuseme uzembe wa wanabodi wa kizalendo. It is very sad hawa wenzetu waliotufikisha hapa bado tunawaona kuwa hawakustahili kuhojiwa kwa yale waliyopewa kuyasimamia.
Sina hakika kama ile kamati ya Bunge ya Miundo Mbinu au Kamati ya Uwekezaji kama ziliwahoji waliokuwa wakurugenzi wa bodi juu deni hili kubwa kabisa la kutengeneza.
 
Huyu ni Mtanzania ambaye to be honest is quite an inspiration kwangu na namuombea M/Mungu amzidishie lakini pia ningependa kujua maoni ya wengine kuhusu huyu bwana
 
Huyu ni Mtanzania ambaye to be honest is quite an inspiration kwangu na namuombea M/Mungu amzidishie lakini pia ningependa kujua maoni ya wengine kuhusu huyu bwana

Ni mchapa kazi, organised na hajihusishi na siasa binafsi yeye na Bakhressa ni my inspiration kwa ujasiriamali wao katika mazingira magumu kama ya kwetu nchini. They are just great to be honest.
 
Ni mjumbe mzuri sana wa bodi maana anasoma nyaraka mbalimbali kuhuisiana na taasisi husika zaidi ya zile wanazolishwaga bodi mbalimbali, haogopi mtu na ana uwezo mkubwa sana wa kuchambua mambo na kutambua fursa na vikwazo. Ni mfano mzuri sana wa kwamba hauhitaji BCom kuwa na mafanikio katika biashara
 
Huyu ni Mtanzania ambaye to be honest is quite an inspiration kwangu na namuombea M/Mungu amzidishie lakini pia ningependa kujua maoni ya wengine kuhusu huyu bwana
Siyo wote wanamjua Bwana Ali Mufuruki nivema ungeweka wajii wake na fikiri hii ingekaa vizuri nakama nikumjadili ajadiliwe kutokana na wajii siyo kutokana na mapenzi yako mwenyewe!!Naomba kuwakilisha!
 
kumbe wengi hapa ni wageni JF! lol
 
huyu ni mtanzania ambaye to be honest is quite an inspiration kwangu na namuombea m/mungu amzidishie lakini pia ningependa kujua maoni ya wengine kuhusu huyu bwana

niliposoma tu hili nikahisi kichefuchefu kilichoniokoa nisitapike ni jina lako safaa...ndugu huyu ni katika watu wasio na adabu nchi hii na waliochangia kuliua kampuni ya ndege ya tanzania atcl,,nenda ukaulize sifa zake alipokuwa mwenyekiti wa bodi ya atcl..alishirikiana na wazungu kupitisha doller za kwampuni kwenye hold za ndege badala ya bank..huku mtoto wa mwenye hisa wa akija na kaptula kuhakikisha polisi wanalinda yale mabox kama ya boarding hope ulipitia boarding kuna yale mabox ya chuma tulikuwa tukilanguliwa kumbe wanayatoa pale gerezani..zimejaa doller zaidi ya box 6 kila safari ya jnb

huyu ndie alie sijui nikwambie ama..kilichomfanya aondoke na asiwe na hamu na atcl ..kuna upumbavu alitakja kushirikiana na mmoja wa wahandisi wa atcl na ceo wao enzi hizo.........atcl walikodisha ndege mbili kutoka jnb...b737 /200 zikawa zinafanya kazi ilipofika wakati jamaa wakaitaji kurenew mkataba wakachimoa wakidai wanaleta ndege nyingine...sasa basi waakitwa na serikali mfuruki bila aibu na huruma akapeleka proposal ya b737/200 from ireland....na wamepata cheap...ndugu kilichotokea nakuhabarisha we na tanzania yako kamulize mfuruki na ule mkataba waliotengeneza tunao kwa maslahi ya umma

wakatengeneza mkataba na hiyo kampuni feki ya ireland ili walete ndege ..unajua kilichofanyika...??wakiwa wanatengeneza mkataba akatokea msamaria mwema akauleta kwenye meza ya wana jf...tukaanza kuaachambua wakati huo mfuruki ajui kinachoendelea anasubiri mkataba umalizike wapeleke wizarani..akiwa anasubiri wanaume wakauangalia vizuri aina ya ndege walipofika kwenye reg za ndege wakakuta katika zile mbili ziliozandikwa moja ni ile walioirudisha south afrika wakidai aziko salama sana wameamua kutafuta ndege nyingine...

Akiwa kwenye mkutano wa bodi na wapuuzi wenzake akapitisha mtu ule mkataba akaudondosha kwenye ngazi kama bahasha nne sehemu tofauti na mbili karibu na board venue..mfagizi akaupeleka kwa sec akampa ali...mkutano wa bodi uligeuka kujadili ile mkataba imefikaje maana kilichofnyika watu walipiga copy na wakatoa maoni yao kwamba unataka kutuua hivi hivi ile ndege iliorudishwa reg yake ni ..xxx.na hii unayosema mpya reg ni ...xxx ali huoni hii aibu itakufwata na wajukuu zako mfuruki mpaka leo hana amu aliishia kufukuza watu 8 kama ulisikia walikuja hapa jamvini kulalamika saa na mfuruki wanaua atcl..mwisho wa siku mahakama ikawaambia iwalipe millions..wakwaomba waendelee kufanya kazi wajinga waliendelea wajanja wakaenda kukazia hukumu wakal bingo yao baada ya hakimu kuamuru mashangingi ya atcl yafike kwa mzee wa majembe kabla ya tar kadhaa

ndugu akuna aliemsafi hata mmoja kuna kipande nakuonyesha hiiki utokaa uamini alimuajiri mtu ambe yuko nje ya nchi analipwa doler 12.,000 ati anaisaidia atcl kwenye masoko nje ya nchi huu ni uhuni na kama uamini nenda kwenye makabrasha ya atcl fukua hili jina kama ayuko kwenye payroll we acha hao matapeli wasikufanye msukule uje kuwasifia ni washenzi tu kama wengine samahani kuita hilo jina....
 
hope utajua sasa hii kampuni kwanini imefika hapo

Dear All,

First of all I would like to introduce myself, I will
be your Resident Customer
Support Manager on site for your Airline, my name is
Ricardo M. Galhardo.
Please be advise that this email is the Air Tanzania
mail account for you to provide
me with all issues that you might have day by day,
this mail box is open 24/7, for
the time been I have only one contact that is at your
disposal also 24/7 and is has
follows: +351 969025814.
Please be free to contact me if you have any issue any
query at all.
If you would be so kind to provide the email account
and mobile to any persons in
the company if needed for any issue concerning Airbus.
For the time been this is all that I can say, it will
be very gratifying for me to
see and meet everybody personally when I arrive in
Tanzania.

Thanks for your understanding and comprehension,

Best regards,

Ricardo Galhardo
Resident Customer Support Manager
 
Ali Mfuruki, CEO, Info Tech & chairman of CEO Round Table Tanzania delivering a keynote address at the launch of the Tanzania Responsible Business Network (TRBN) held at the Hyatt Regency, Dar es Salaam, the Kilimanjaro on Monday 28th November 2011. The launch was sponsored by bank M, KPMG, Serengeti Breweries and EASB

 
Last edited by a moderator:
mbona huyo Paul mashauri anavaa suti zimembana namna hiyo?
 


He is one of the most successful businessman in the country at the 40 years
 

Attachments

  • IMG-20120114-00456.jpg
    85.6 KB · Views: 2,325
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…