African Millionaires: Ali Mufuruki

40 years of age?!!!!!!!!!!!!!! nimebakisha miaka kumi tu nizeeke ivyo? basi kweli life expectancy inazidi kushuka, watakaozaliwa watakuwa wameshabalehe na kila kitu wanaelewa
 
Umri ni uongo tu.....jamaa mpigaji tu kuanzia ishu za ATC and dash dash....msela full mpigaji!
 


kudos mkuu, ..................... wengi wetu humu huwa tunashabikia hata mafisadi kwa uvivu wa kufikiri.................

mfano huyu mufuruki ana hela sawa,.................... mtaji wa biashara kaupata lini na wapi??................... watu hawajiulizi kabisa, .............. kama anazo zabuni anazipata vipi hizo zabuuni.................. kama ana hisa mahali,................ alinunuaje hizo hisa, ............... hao amapartner wake kibiashara, walikutana naye lini na wapi.....................???............ halafu hujiulizi tu, si ndiye huyu mufuruki aliyekuwa ATCL/Alliance???....................... shirika likafa yeye akapaa kibiashara................... jamani, tuitieni akili vichwani please.....................
 
Natamani sana kujua historia yake,Ali Mafuruki katokea wapi,ujasiriali kauanza lini?maana mi ananikonga sana kwenye vipindi vya Televisheni namna anavyojua kujenga hoja.Mfano,ni kama wiki mbili zimepita kwenye kipindi cha This week persepective cha Adam Simbeye TBC1 wakiongelea shilingi kushuka thamani, mbele ya kamishna wa BOT na katibu hazina (huyu jamaa alikuwa TASAF kabla),Ali alisema serikali ndo inaongoza kwa kufanya manunuzi kwa kutumia dola.

Akasema ukienda mlimani city baadhi ya maduka vitu vinauzwa kwa dola na bei zimebandikwa kwa dola,nyumba ufukweni zinapangishwa kwa dola akasema hiyo kitu ni kosa na kuwa serikali inayajua hayo lakini haichukui hatua,ushauri wake wa kuwa heshima kwa shilingi yetu uanzie serikalini niliuona wa maana sana.

Ali ni nani hasa huyu?
 
Huyu Mechanical Engineer ana miaka kati ya 55-58 kasoma pale FoE mwanzo mwa miaka ya themanini. PAmoja na kuwa mchapakazi sana pia kwao walikuwa na hela na rais mwinyi alimsaidia kwa kiasi kikubwa sana.
 

...hayo maneno yao,wameyachokoza wenyewe...sasa mwaiona ngondo mwafunga milango....ni maneno kutoka kwenye moja ya nyimbo za Bantu Group-Hamza Kalala!
 
Ukimwona mweleze, akome kushika nyonga za binti zake wakubwa hivyo: incest.
 
miaka 40? mbona anaonekana kama ana miaka 60? ..kweli life so hard in bongo


Anamaanisha amepata utajiri katika miaka ya 40s - he made his wealth at 40s! I guess that is it! I stand to be corrected by him.
 
Alishiriki vilevile kuua iliyokuwa NBC alipokuwa board member 1997- 2000. Musikae hapa kusifia mijitu mijizi na kuiita 'mjasiriamali wa kuigwa" bila kujua jinsi walivyo iibia nchi yetu.
 
El Toro umetutajia umri wa mdingi,vipi mbona umesahau kututajia umri wa binti zake,hasa huyo wa kulia kwake mkuu??
 
Kuna mtu alisema anahusika na mambo ya BOT, sijui ni katika lipi. Au ku supply computer?
 



huyu ndiye anataka mfumo wa television uhamie kwenda digital signal.
Kwa habari zaidi
SOMA HAPA
 
Sijaona cha maana.... Labda mtoa habari atuambie yeye maana ya utajiri kwake ni nini... au ndo kuwa na ghorofa... au kuna mengine ya huyu jamaa hajayaandika... kama ni maghorofa mbona mengi tu hata huku Geita... tena wanamiliki watoto wa miaka 25 mpaka 30. Au kuna kingine zaidi... tujuzane ili kweli tujifunze kupitia yeye.. Zaidi ya hapo its acrap!!!!!!!!!!
 
Pia huyu jamaa anamiliki kampuni ya kuuza nguo ya Woolworth
 
kwa uhakika upi upi? tusije tukawa tunadanganyana maaana siku hizi tanzania wawekezaji walio wengi ni wafyasi wa viongozi wetu kwani huwa ndio sehemu ya kujifichia kwa utajiri wao usikuwa halali sasa hivi wanatumia watoto wao ka swahiba JK KWA mwanae Riz
:A S embarassed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…