African oldie music/muziki wa kizamani wa kiafrika

African oldie music/muziki wa kizamani wa kiafrika

Spartacus boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,727
Reaction score
3,464
Leo nimekumbuka nyimbo za kipindi kile za kutoka bara letu. Najua Belinda Jacob alileta oldies lakini uzi wake ukibase kwenye muziki wa mbele. Leo nakuletea mtaa wa magoma ya kiafrika yaliyo bang miaka hiyo.

J powers _Jabulane
Pat shange _sweet mama
Pat shange_ i surrender
Mafikizolo _Emlanjeni
Mafikizolo_ Dhiaba nawe
Yvonne chakachaka _Mamaland
Yvonne chakachaka _thank you mr dj, take my love its free nk
The winners _love station.
Africando _aicha
Ringo mandlozi_Sondela
Kwa zulu natal
The winner _we are number one.
 
Nina playlist ya kibabe sana, hizi ndizo nyimbo zangu pendwa.

IMG_20220820_211319.jpg
IMG_20220820_211407.jpg
 
Hiyo nyimbo ya pj power ni maarufu sana.
Hasa hicho kiitikio jabulaneeeeeee.
Msaniii ni msauzi ila ni mzungu. So kama mnakumbuka hata wakati wa kombe la kwa madiba basi mpira wa mashindano uliitwa
'' jabulani''
 
Leo nimekumbuka nyimbo za kipindi kile za kutoka bara letu. Najua belinda jacob alileta oldies lakini uzi wake ukibase muziki wa mbele.

Leo nakuletea mtaa wa magom ya kiafrika yaliyo bamg miaka hiyo.

J powers _Jabulane
Pat shange _sweet mama
Pat shange_ i surrender
Mafikizolo _Emlanjeni
Mafikizolo_ Dhiaba nawe
Yvonne chakachaka _Mamaland
Yvonne chakachaka _thank you mr dj, take my love its free nk
The winners _love station.
Africando _aicha
Ringo mandlozi_Sondela
Kwa zulu natal
The winner _we are number one.
Kabla hujaenda mbali anza ndani kwako
 

Attachments

hakuna watu wanaojiona wamepatia maisha Kama hawa wanaozijua vizuri nyimbo za zamani sijui wanatuonaje wakina sisi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom