Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
- Thread starter
- #21
Joe mafela_shebeleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka hapo dada anajibu... sikulove
Deo na banana [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Nina playlist ya kibabe sana, hizi ndizo nyimbo zangu pendwa.
View attachment 2329722View attachment 2329728
Kijana imezaliwa mwaka gani mpaka unatuletea kahawa ya moto na jua hili?Kanda Bongo Man mpaka akapewa 24hrs aondoke Nrb kisa mke wa mkubwa mmoja alimzimia
View attachment 2329794
Akapaisha bei ya kofia hizo
Aisee Asante kwa kutujuza maana hata mm nilisikia hvyo kuwa bibi ya kigogo alimzimia jamaa, akapewa saa 24 aondoke NaiiKijana imezaliwa mwaka gani mpaka unatuletea kahawa ya moto na jua hili?
Habari za bongoman kutimuliwa kenya miaka ya 90 kama kumbukumbu zangu ziko sawa
Ni sakata la kushindwa kuhudhuria harusi ya mtoto wa jiitu moja kwenye utawala wa moi lilikuwa na nguvu sana Ezekia oyuki na
Harusi ilifanyika kisumu so bongoman akaona kama hajatendewa haki na siku hiyo Tshala muana alikuwa na tamasha Nairobi bongoman akaona ni kheri akajumuike naye kwenye show Nairobi
Ezekia kusikia bongoman kugomea mwaliko na kwenda Nairobi akapewa masaa 24
Mambo ya mitandao bwana siku hizi......unaweza kukuta mwamba hapa ana 45+hakuna watu wanaojiona wamepatia maisha Kama hawa wanaozijua vizuri nyimbo za zamani sijui wanatuonaje wakina sisi[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee Asante kwa kutujuza maana hata mm nilisikia hvyo kuwa bibi ya kigogo alimzimia jamaa, akapewa saa 24 aondoke Naii
Masoud Masoud nahisi anawajua vizuri.Hv hakuna mtu wa kutuletea story za kusisimua ya Hawa wasanii
Binti kiziwi z Anto na Anita Matonya na sababu ya ulofaLeo nimekumbuka nyimbo za kipindi kile za kutoka bara letu. Najua Belinda Jacob alileta oldies lakini uzi wake ukibase kwenye muziki wa mbele. Leo nakuletea mtaa wa magoma ya kiafrika yaliyo bang miaka hiyo.
J powers _Jabulane
Pat shange _sweet mama
Pat shange_ i surrender
Mafikizolo _Emlanjeni
Mafikizolo_ Dhiaba nawe
Yvonne chakachaka _Mamaland
Yvonne chakachaka _thank you mr dj, take my love its free nk
The winners _love station.
Africando _aicha
Ringo mandlozi_Sondela
Kwa zulu natal
The winner _we are number one.
Hizi nazo zipo kwenye idadi ya nyimbo za zamani au za kisasa.Binti kiziwi z Anto na Anita Matonya na sababu ya ulofa
Umeupata??Hizi ndio nyimbo sasa
Pia kuna wimbo unaitwa
Steve kana - my love nimetafuta sana