African queen

Hana kiwango hicho. Namtoa kasoro kwenye macho na midomo
 
Dah! Sio mchunguzi kiivyo, ila macho yake yamezama sana. Pia dental formula imemharibia lips. Vingine vilivyobakia ni perfect!
 
Yuko super 100%. Niachieni mimi miezi 2 hizo kasoro hamtaziona
 
Siyo lazima awe kutoka kwa Kagame yaani Mnyarwanda.

Ila ni LAZIMA atakuwa MTUSI. Kama siyo mtusi basi ni haya Makabila yanayojiita tofauti ila ni wale wale Watusi, kama Wahima (Bahima). Pua zao utazijua tu na ndiyo maana Werrason anasemwa kuwa ni MTUSI.
 
Hivi wale walioko ahela wenye macho makubwa kama vikombe vya kahawa wanafanana na huyu?
Kama ndo hivyo haukufai huko? Bora nikae hapa hapa 'Guniani' nakula bata wa kienyeji!
 
Huyu ni mnubi au muhabeshi. Ni wazuri sana wanawake wa pande hizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…