funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,624 Reaction score 21,362 Dec 10, 2010 #41 Fab said: mnh ulivyo mchunguzi,?huyo mkeo nadhani atakuwa amekamilika kila idara Click to expand... watu wa kuchunguza sana uwa wanaambuliwa magalasa kumbuka msemo wa wahenga kuchamba kwingi huondoka na mavi
Fab said: mnh ulivyo mchunguzi,?huyo mkeo nadhani atakuwa amekamilika kila idara Click to expand... watu wa kuchunguza sana uwa wanaambuliwa magalasa kumbuka msemo wa wahenga kuchamba kwingi huondoka na mavi
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 75 Dec 17, 2010 #42 Domo Zege said: Shingo ka ya twiga Click to expand... Ndo linaitwa shingo la upanga!
MGAWARIZIKI JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 305 Reaction score 47 Dec 17, 2010 #43 Jamani!!! jamani!!! kuna wanawake wamependelewa na mola naomba kuuliza swali mkuu hivi huyu anaenda haja kubwa kweli?
Jamani!!! jamani!!! kuna wanawake wamependelewa na mola naomba kuuliza swali mkuu hivi huyu anaenda haja kubwa kweli?
M Major JF-Expert Member Joined Dec 20, 2007 Posts 1,865 Reaction score 2,453 Dec 17, 2010 #44 Wanawake wazuri wa asili namna hii inatakiwa wawe na free pass kwenda mahala popote duniani. na kama mimi ningekuwa kiongozi wa tz hao wangekuwa free entry.Maana wakizaliana tz baada ya 10 years, mabinti wote bongo ni bomba, na utalii ungeongezeka
Wanawake wazuri wa asili namna hii inatakiwa wawe na free pass kwenda mahala popote duniani. na kama mimi ningekuwa kiongozi wa tz hao wangekuwa free entry.Maana wakizaliana tz baada ya 10 years, mabinti wote bongo ni bomba, na utalii ungeongezeka
Bwaksi Senior Member Joined Nov 2, 2010 Posts 125 Reaction score 4 Dec 17, 2010 #45 Huyu mimi labda niwe nimepiga bia mbili, lakini nikiwa macho makavu hata anipe laki sitaki ...............
Huyu mimi labda niwe nimepiga bia mbili, lakini nikiwa macho makavu hata anipe laki sitaki ...............
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,815 Reaction score 1,424 Dec 18, 2010 #46 U call that beuty!mmhhh i guess that's why we'r different.