African Super League

African Super League

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika(CAF) limetangaza rasmi tarehe za kuanza kwa mashindano mpira wa miguu maarufu kama African Super League.

Mashindano hayo yataanza tarehe 20 Octoba na kumalizika tarehe 11 November,2023 na sasa mashindano hayo yataitwa African Football League na kushirikisha timu nane Bora na zilizo nafasi za juu za mafanikio ikiwemo Simba Sports Club ya Tanzania.

Draw kwa ajili ya mashindano hayo kwa mujibu wa CAF itafanyika tarehe 02 Septemba 2023 saa moja jioni kwa saa za nchini Misri.

African Football League (AFL) which is designed to show case the best of African Football club and provide football fans in Africa and around the world, the opportunity to see and enjoy the very best of the beutifull game on the African continent....ilisema sehemu ya taarifa hiyo ya CAF.
 
Nyie wakuchaguliwa mtapangana lini?
Sisi hatuchaguliwi, tunapambana kupata nafasi ambazo inajulikana mapema kwamba ukishinda vile, unaenda pale..!! SIyo kama nyie wa kuteuliwa..!! Kama hayo pia yametokea kwenu wakati wa MVP.

Gia zilibadilishwa angani ilimradi Saido awe mmojawapo wakati kwenye magoli yake kuna ya penati..!! Ni muendelezo wa hayo hayo ya kutokuwa na vigezo vya kukufikisha mahala fulani
 
Mhhhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NGOJA UTOPOLO WAJE WANAPITA KAMA WANAAGA MAITI
 
Back
Top Bottom