African Super League

African Super League

Kuna timu naionea huruma mpaka basi. Maana itarejea mikono mitupu kwenye hayo mashindano ya Bonanza! Na ikrejea tu itakutana na viporo vilivyochacha!!

Yaani ndiyo utakuwa mwanzo wa kupoteana kwenye Ligi.
 
Ajuza a.k.a kibibi umo?
Vibibi hivi hapa, kikiwa kimoja kibibi:

1693425755941.png

Wakuja upo hapo ulipo?
 
Sisi hatuchaguliwi, tunapambana kupata nafasi ambazo inajulikana mapema kwamba ukishinda vile, unaenda pale..!! SIyo kama nyie wa kuteuliwa..!! Kama hayo pia yametokea kwenu wakati wa MVP.

Gia zilibadilishwa angani ilimradi Saido awe mmojawapo wakati kwenye magoli yake kuna ya penati..!! Ni muendelezo wa hayo hayo ya kutokuwa na vigezo vya kukufikisha mahala fulani
Kwa nn labda wasiwateue nyie. TULIA DADA IKUINGIE
 
Sisi hatuchaguliwi, tunapambana kupata nafasi ambazo inajulikana mapema kwamba ukishinda vile, unaenda pale..!! SIyo kama nyie wa kuteuliwa..!! Kama hayo pia yametokea kwenu wakati wa MVP.

Gia zilibadilishwa angani ilimradi Saido awe mmojawapo wakati kwenye magoli yake kuna ya penati..!! Ni muendelezo wa hayo hayo ya kutokuwa na vigezo vya kukufikisha mahala fulani
Uko nje ya mada, au umelewa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teseka taratibuu mlongooo.
Kunywa maji mengi na upumzikeee.

Kimataifa hasa CL sio level zakoo.
 
Kuna timu naionea huruma mpaka basi. Maana itarejea mikono mitupu kwenye hayo mashindano ya Bonanza! Na ikrejea tu itakutana na viporo vilivyochacha!!

Yaani ndiyo utakuwa mwanzo wa kupoteana kwenye Ligi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lia polepolee shost, usitoe kelelee,
Futa machozii sasa, woiiiiiiiih
 
Haya mashindano bado sijajua yanachezwaje kimakundi au mechi moja nyumbani na ugenini ukishindwa ndo basi
 
Back
Top Bottom