mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 901 Reaction score 1,742 Mar 18, 2023 #1 Hali inakokwenda unaweza kuta ucahfu umetupwa mlangoni kwako na huna kumfanya yoyote. Sisi ni wachafu sana.
Hali inakokwenda unaweza kuta ucahfu umetupwa mlangoni kwako na huna kumfanya yoyote. Sisi ni wachafu sana.
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 Mar 18, 2023 #2 mirindimo said: View attachment 2556521 Hali inakokwenda unaweza kuta ucahfu umetupwa mlangoni kwako na huna kumfanya yoyote !! Sisi ni wachafu sana Click to expand... Hapo watasema serkali tu USSR
mirindimo said: View attachment 2556521 Hali inakokwenda unaweza kuta ucahfu umetupwa mlangoni kwako na huna kumfanya yoyote !! Sisi ni wachafu sana Click to expand... Hapo watasema serkali tu USSR
melusine8 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2022 Posts 6,299 Reaction score 7,746 Mar 18, 2023 #3 Kama niemchafu ni wewe na familia, ukome kabisa kutuingiza katika UCHAFU GANG LAKO yaani ukome kabisa! Idiotic set of mind [emoji35]
Kama niemchafu ni wewe na familia, ukome kabisa kutuingiza katika UCHAFU GANG LAKO yaani ukome kabisa! Idiotic set of mind [emoji35]
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Mar 18, 2023 #4 mirindimo said: Hali inakokwenda unaweza kuta ucahfu umetupwa mlangoni kwako na huna kumfanya yoyote. Sisi ni wachafu sana. View attachment 2556521 Click to expand... Kwanini ukauacha uchafu barabarani Ungesafisha tu
mirindimo said: Hali inakokwenda unaweza kuta ucahfu umetupwa mlangoni kwako na huna kumfanya yoyote. Sisi ni wachafu sana. View attachment 2556521 Click to expand... Kwanini ukauacha uchafu barabarani Ungesafisha tu
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Mar 18, 2023 #5 Usafi ni tabia.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Mar 18, 2023 #7 Katiba mpya Ni suluhisho