Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Pumzika, Maalim Seif Shariff Hamad.
Waliokukamata na kukusweka Mahabusu mara kadhaa, hata kuwapiga wafuasi wako mpaka kuwavunja, kuwaumiza na wengine mpaka kifo, leo wameungana na kukumiminia sifa lukuki.
Wahenga walisema, Kufa, usifiwe.