Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #21
Na kwann Kenya middle income halafu ina njaa ya kutupa!mimi mwenyewe huwa najiuliza, kwanini wakenya licha ya kwamba mnazungumza lugha ya kingereza ambayo kwa namna fulani imekuwa regarded kama lugha ya watu waliostaarabika, mnaishia kubaka wanyama kama ng'ombe, punda, kuku, mbuzi nk.
ukitaka ushahidi toka katika kisa cha hivi karibuni nitaleta.