Africa’s Most Brutal Election : Hivi ndivyo Hassani anavyotufedhehesha kimataifa

Africa’s Most Brutal Election : Hivi ndivyo Hassani anavyotufedhehesha kimataifa

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
IMG_6683.jpeg


🚨 URGENT: Tanzania's democracy is being dismantled in real-time.

Five days before the October 29th election, the main opposition leader sits in prison facing the death penalty. His party has been banned from the ballot.

Social media platforms are blocked. Activists are disappearing.

And President Samia Suluhu Hassan is about to win... running virtually unopposed.
 
View attachment 3494503

🚨 URGENT: Tanzania's democracy is being dismantled in real-time.

Five days before the October 29th election, the main opposition leader sits in prison facing the death penalty.

His(sic) party has been banned from the ballot.

Social media platforms are blocked. Activists are disappearing.

And President Samia Suluhu Hassan is about to win... running virtually unopposed.
Mafisadi na hawa wahuni wana siri gani ya huyu mwanamke hadi waruhusu aibu yote hii itokee? Tangu Nyerere hatujawahi kuona haya, huyu kafanya nini hadi achezewe hivi, au kuna siri zake hao mafisadi wamezishikiria? Maana haieleweki. Ni kama Trump akikutana na Putin. Hawa mafisadi wana kitu
 
Yani Kuna wakati nashindwa kabisa kuamini kama Samia nilie kua na matumaini nae 2021 ndo huyu huyu anaefanya haya 2025
Yaani mkuu yale mahabari ya kipuuzi ya DW na BBC tuliyokuwa tunayasikia Rwanda, Burundi na Congo miaka ile, leo eti imekuwa sisi. Daah unaweza kuchukulia stori tu kama hujatekewa nduguyo
 
Yani Kuna wakati nashindwa kabisa kuamini kama Samia nilie kua na matumaini nae 2021 ndo huyu huyu anaefanya haya 2025
Siyo wewe tu. Hata mimi nilifikiri baada ya kupitia miaka 6 ya udikteta uchwara nchini, tutapata unafuu! Kumbe mambo yamekuwa ni tofauti kabisa. Mpaka muda huu ni wazi anaipeleka nchi kwenye machafuko na uasi.
 
Yani Kuna wakati nashindwa kabisa kuamini kama Samia nilie kua na matumaini nae 2021 ndo huyu huyu anaefanya haya 2025
Haiingii akilini kuwa kuna watu waliokuwa na matumani nae 2021, halafu eti sasa hivi ndiyo wanagutuka. Ntawaamini machawa ambao wanaendelea kumpigia debe, kuliko nyinyi mliodhani Magu alikuwa mbaya.
 
Back
Top Bottom