Afrika akili za washika madaraka remoti ipo Ulaya

Afrika akili za washika madaraka remoti ipo Ulaya

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Viongozi wa afrika kuwa wajinga sijui sababu ni akili ndogo,uvivu wa kufikiri au ubinafsi inafika wakati unashangaa umetawalia miongo kadhaa alafu anayekutawala bado anakuchongea ya kupita stil they are obeying order.

Hatuna hata uthubutu wala utajiri hata kwenye lugha yetu licha kupata maprofesa uchwara wa kiswahili bado tunaendelea kuyaandika magari ya viongozi RC,DC,SU N.K hivi ni mpaka lini tunaenda kuwa na uthubuti kama hayati?
 
Back
Top Bottom