Sijui kwanini mnajifanya mabumbumbu kiasi hiki, au n ile kutokuelewa kingereza, na mkiambiwa mjifunze hiyo lugha mnaweka vijisababu kwamba ni ya mkoloni, ilhali tunajua ni mlivyo wazembe tu hamna kingine.
Naomba utafute mtu akutafisirie hii sentensi kutoka kwenye tovuti rasmi ya TANSECO "It is estimated that over 44% of all Tanesco revenue is earned from only 3,836 Large Power Users (LPUs) who forms 0.17% of all customers countrywide. "
Welcome to TANESCO website
www.tanesco.co.tz
Nikusaidie kwenye hesabu rahisi sana mithili ya kufanywa na mwanangu mdogo.
Kwenye hiyo tovuti ya TANESCO, inasema wateja wakubwa ni 3,836 na asilimia yao ni 0.17% ya wateja wote Tanzana.
Sasa hapo fanya (100 x 3836) / 0.17
Utapata 2,256,470
Hiyo ndio idadi ya wateja wanaofikia asilimia 99.83%
So kama utabisha hadi hizi taarifa rasmi kutoka kwa tovuti ya TANESCO utakua na kichaa. Fahamu kuna tofauti baina ya wateja na household, jifunze kingereza.
Kenya imewazidi mara karibia tatu kwa hili maana ina wateja milioni sita.