MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
Habari zenu Wana jukwaa, imani yangu sote tuko wazima wa afya njema na kwa wale walio na changamoto ya afya mungu awasaidie waweze kupona na kuendelea na majukumu ya kila siku.
Watanzania hivi mnaamini kwamba maendeleo yanapatika Kwa urais kama mnavyodhani? Mnaamini kwamba ili uweze kuwa taifa lenye nguvu kunaitajika lelemama?, Mnadhani kuwa mapinduzi ya technology yanapatikana Kwa kuwabeza watanzania wachache wanaojitaidi kuumiza vichwa vyao?, Mnadhani kupewa uhuru wa dili utalisaidia taifa.
Bhasi nawaambieni kwamba chuma ili kiwe imara lazima kipite kwenye moto, mataifa yote yaliyoendelea duniani yalipitia mateso, mateso waliyapata wanaojitoa Kwa uzalendo na hata wasio wazalendo. Jiulizeni iliwezekanaje watu waligundua magari,ndege,mitambo ni kupitia changamoto za Maisha kutokana na shughuli za kutafuta suluhu.
Kuna kiongozi alitokea katika nchi hii alianza na alihubiri kwamba inawezekana na tunaweza kufanya mambo yetu wenyewe tukiamua na alianza Kwa kuwaamini wazawa kwenye Kazi nyingi.
Ilifika hatua wagunduzi wadogo walianza kupata thamani na wapo walioitwa ikulu.
Maendeleo yalikuja Kwa kasi Kwa kuwa aliamini kwamba ni suala la muda TU,baada ya miaka 10au 20mambo yangebadika na kuja kutufanya tuwe taifa lenye tija na la kujivunia.