kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Hivi najiuliza kwanini ballon d'or au mpira wa dhahabu kutoka africa wanachukuwa wachezaji kutoka Ulaya.
Mimi nafikiri hizi tunzo zao wawape wachezaji wa ndani tu wanao cheza mpira ndani ya Afrika maswala ya mane kafanya vizuri Ulaya aje achukuwe tunzo Afrika naona sio sawa kabisa lakini some time ni sawa Afrika kumejaa rushwa atari kuna wapumbavu ambao wanaweza kuwa wana kesho kuonga pesa ili wachukuwe wao