Wakoloni waliwezaje kututawala?Kwani kabla ya wakoloni tulikuwa tunaishi vipi?
Wakoloni wamedidimiza maisha ya wananchi waliowatawala kwa sababu walitumia maliasili zao kujiimarisha kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Wakoloni wameiba mpaka mfumo wa elimu ambao waanzilishi ni Wamisri achilia mbali malighafi na wakahakikisha wanafanya kila linalowezekana ili hata wenye elimu wasinufaike.
Nchi za kiafrika haziendelei kwa sababu wakoloni wameasisi na wanamiliki dhana ya resource curse!
Nadhani umesoma angalizo langu lakini hukulielewa vizuri!Wakoloni waliwezaje kututawala?
Kwanza walikuja na bunduki wakati sisi tulikuwa na majeshi ya upinde na mshale pamoja na mikuki.
kama wakoloni waliwwza kunufaika na rasilimali zetu mbona sisi hazitunufaishi?
Soma hii...Miaka karibia 60 baada ya uhuru 50% ya raia hawana uhakika wa huduma za jamii. Kuna vijiji huko unasafiri siku mbili kabla hujafika kituo chako cha karibu cha polisi. Mtu akifariki kama ni kifo chenye mashaka inabidi maiti ikae siku mbili ndani kabla polisi hajafika.
Elimu, Afya, Maji hali ya huduma ni hivyo hivyo. Huduma za jamii zimekua mtaji wa siasa. Wananchi wanaahidiwa, serikalili inaingia madarakani na baada ya miaka mitano mnaomba mambo yale yale.
Katika harakati za siasa, TANU ilipaswa kuhimiza watu wapate elimu. Wengi wangeelimika wangesukuma maendeleo. Kukosa elimu watu wanafikiri wanapata huduma za jamii kwa hisani ya serikali. Hawafikirii kuwa Hii ni kodi wanayolipa na huduma ni jukumu la serikali si hisani.
Hapana ninasngalia maisha wakati wa utawala wa Mjerumsni, alianzisha commercial farming za katani, pampa, tumbaku, kahawa na chai. Alituchapa viboko ni lazima uende kazini na ulipe kodi.Wewe sky katawaliwe wewe mwenyewe. Najua unataka kuilinganisha marekani na tz. Marekani ina umri wa miaka 400 na sisi tuna umri wa kiaka 50+ sasa tafuta picha za taifa hilo 350 yrs ago then angali ulinganishe na sisi leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutambua tatizo ni nusu ya kulitatua. Sasa kama tumejua issue is a curse what are we doing about it?Nadhani umesoma angalizo langu lakini hukulielewa vizuri!
Nimeandika, wakoloni wameasisi dhana ya resource curse ambayo wanaitumia kuhakikisha rasilimali haziwanufaishi Waafrika.
Tatizo tumelitambua ndio maana tunapiga hatua kidogo kidogo huku tukipambana nalo!Kutambua tatizo ni nusu ya kulitatua. Sasa kama tumejua issue is a curse what are we doing about it?
Sasa hivi tunatawaliwa na chama tena kwa mabavu, maneno kebekebe yaliyojaa kejeli kwa kutoka kwa viongozi wake.Miaka karibia 60 baada ya uhuru 50% ya raia hawana uhakika wa huduma za jamii. Kuna vijiji huko unasafiri siku mbili kabla hujafika kituo chako cha karibu cha polisi. Mtu akifariki kama ni kifo chenye mashaka inabidi maiti ikae siku mbili ndani kabla polisi hajafika.
Elimu, Afya, Maji hali ya huduma ni hivyo hivyo. Huduma za jamii zimekua mtaji wa siasa. Wananchi wanaahidiwa, serikalili inaingia madarakani na baada ya miaka mitano mnaomba mambo yale yale.
Katika harakati za siasa, TANU ilipaswa kuhimiza watu wapate elimu. Wengi wangeelimika wangesukuma maendeleo. Kukosa elimu watu wanafikiri wanapata huduma za jamii kwa hisani ya serikali. Hawafikirii kuwa Hii ni kodi wanayolipa na huduma ni jukumu la serikali si hisani.
Miaka karibia 60 baada ya uhuru 50% ya raia hawana uhakika wa huduma za jamii. Kuna vijiji huko unasafiri siku mbili kabla hujafika kituo chako cha karibu cha polisi. Mtu akifariki kama ni kifo chenye mashaka inabidi maiti ikae siku mbili ndani kabla polisi hajafika.
Elimu, Afya, Maji hali ya huduma ni hivyo hivyo. Huduma za jamii zimekua mtaji wa siasa. Wananchi wanaahidiwa, serikalili inaingia madarakani na baada ya miaka mitano mnaomba mambo yale yale.
Katika harakati za siasa, TANU ilipaswa kuhimiza watu wapate elimu. Wengi wangeelimika wangesukuma maendeleo. Kukosa elimu watu wanafikiri wanapata huduma za jamii kwa hisani ya serikali. Hawafikirii kuwa Hii ni kodi wanayolipa na huduma ni jukumu la serikali si hisani.
Commercial farming aliziua Nyerere baada ya kuwanyanga wakulima wa kizungu na kuzitaifisha NAFCO.Hapana ninasngalia maisha wakati wa utawala wa Mjerumsni, alianzisha commercial farming za katani, pampa, tumbaku, kahawa na chai. Alituchapa viboko ni lazima uende kazini na ulipe kodi.
sasa hivi ardhi tunayo lakini hakuna commercial farming, watu hawana ajira.