kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kwa style hii ndo unategemea africa eti ipo siku tutafanikiwa
Yaani kila kitu sisi ni Mungu tu
Mtoto kuwa na kipaji cha kuimba tayari ni makosa mbele za Mungu
Wengine mpira mtoto akiwa na kipaji cha mpira tayari ni makosa kwa Mungu
Hivi huyu Mungu katuleta duniani kufanya nini?
Maana ukicheki vizuri hata wazazi wa watu ambao walitengeneza simu na mengine wangelikataa watoto wao kuendeleza vipaji vyao
Labda tusingelikuwa na kitu chochote
Acheni watoto wafanye mambo yao hizo dini ni biashara ya watu tu
MUNGU wa kweli yupo katika mila zenu