Afrika inapitia kwenye darasa bora kabisa la msamiati wa neno "demokrasia"

Afrika inapitia kwenye darasa bora kabisa la msamiati wa neno "demokrasia"

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Katika nchi ambayo barani afrika ndiyo iliyokuwa na demokrasia bora kabisa na tume huru kweli kweli iliyowahi kuwabadilisha viongozi wa taifa hilo mara kwa mara,leo hii inashindwa kuaminika na baaadhi ya viongozi walafi wenye uchu mkali wa kupata nyadhifa za ukuu wa nchi,

Najaribu kutafakari kwa weledi wa tume ya zambia na utakatifu wake,kwanini chama cha upinzani kwa makusudi mazima huku kikifahamu weledi wa tume yao,kiliamua kujitangazia ushindi?je huu tuuite kitu gani utovu wa nidhanu au imani kwa tume yao ilikuwa IMEKWISHA?

Pia najaribu kuona aina ya tume ambayo Tanzania tunaihitaji ambayo itakuwa na mchanganyiko wa watu wenye weledi na sifa zenye uzito unaofaa na kustahili mf. Jaji sinde WARIOBA,
-------Inaendelea--------
 
Back
Top Bottom