Ha haaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaa jamaaa nenda kanywe Pepsi naja kulipaNchi za huko watu wanajielewa....Sisi Nyerere alituroga , kimsingi hii nchi ilitakiwa ziwe nchi tano tofaut , tutaendelea kulaumiana Tu
NikweliWatawala wengi wanaendekeza sana ubinafsi na kuwatelekeza wananchi wanaowaweka madarakani. Siku hizi hata chaguzi za kidemokrasia zimeisha, tumekuwa na chaguzi za kimapinduzi au za kifisadi.
Tunapinduana kwa kutumia tume za uchaguzi na kuwakaba koo washindani wa ukweli kupitia vyombo vya ulinzi na usalama. Ni sawa na wabunge wengi wanavyotuacha solemba mara baada ya kuwachagua!
Taifa likipata wanajeshi wazalendo kama Rawlings kwakweli bora kutawaliwa kijeshi.Watawala wengi wanaendekeza sana ubinafsi na kuwatelekeza wananchi wanaowaweka madarakani. Ni sawa na wabunge wengi wanavyotuacha solemba mara baada ya kuwachagua.
Siku hizi hata chaguzi za kidemokrasia zimeisha, tumekuwa na chaguzi za kimapinduzi au za kifisadi. Tunapinduana kwa kutumia tume za uchaguzi na kuwakaba koo washindani wa ukweli kupitia vyombo vya ulinzi na usalama.
Niseme kiufupi:
Afrika ya zama za Mwl Nyerere, Nkrumah, Jomo Kenyatta, Mobutu Seseseko, Augustino Neto. Tulishuhudia mapinduzi kila uchao sababu kubwa ilikuwa pengine uchanga wa nchi husika, maslahi ya wakoloni, upendeleo katika ugawaji wa rasilimali na nk.
Kidogo Afrika ilipumzika katika zama za mapinduzi ya kijeshi, nchi kama Nigeria, Mali na Uganda zilitia aibu na doa kubwa katika bara letu na kuonekana kama bado tuka katika zama za mawe.
Hivi karibuni hali ya mapinduzi imerejea kwa kasi kubwa sijui kwanini nchi za Kaskazini zimekuwa zikinyemelewa na mapinduzi ya mara kwa mara.