Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Kulingana kasi ya ukuaji wa usawa wa kijinsia ya sasa kwa Afrika utafiti uliofanywa na "Global institute on the power parity in advancing women's equality in Afrika" kama ilivyonukuliwa na (Nanjala, 2020) East African, Afrika itachukua muda wa miaka mia na arobaini na mbili(142) kufikia usawa wa kijinsia.
Nchi za Afrika a Mashariki zinaonekana kufanya vizuri zaidi kulingana na ripoti hiyo. Rwanda imefikia kizio kinachoonesa isawa wa 0.69, ikifuatuwa na Ethiopia yenye kiwango cha 0.63 huku Nchi za Kenya Uganda na Tanzania zikiwa katika kiwango cha 0.62.
Kiwango cha Nchi hizo nilizozionesha hapo juu kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyoandikwa kwa mwandishi yaliyokozwa hapo juu ni kikubwa kuliko kiwango cha Bara zima a Afrika ambacho ni 0.58.
Nchi za Afrika ya Magharibi zinaonekana kufanya vibaya zaidi na kuwa hini ya kiwango cha usawa wa kijinsia cha 0.60
Nchi kama Niger ilionekana kuwa na kiwango cha 0.45, Mali na Mauritania zilikiwa na kiwango cha 0.46.