Kitu cha 1977 ni kipya leo 2019?redeemer hiyo ndio 'katiba mpya' ya Tz ya 1977? [emoji15] Bure kabisa we jamaa! [emoji1]
Kitu cha 1977 ni kipya leo 2019?redeemer hiyo ndio 'katiba mpya' ya Tz ya 1977? [emoji15] Bure kabisa we jamaa! [emoji1]
Taahira lingine hili limepatikana ππππUmepanua domo lako na kutoa mitusi kwa kitu usichokijua, katiba ya sasa tunayotumia ni matokeo ya sheria zilizoanza kutumiwa na ujeruman baada ya kutawala Tanganyika, mfano wa sheria tulizorithi kwa wajeruman na ambazo zilifanyiwa amendments mbalimbali na nyingine had leo zina contents zao ni Land ordinance (1922), births and deaths registration ordinance (1920) marriage ordinance (1921) company ordinance (1921)
Uache kubwatuka kwny vitu usivyovijua na jitahid kuzuia hisia
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu bana. Ubishi wa kitoto na watu ambao hawana ufahamu wa masuala msingi kuhusu katiba na sheria ni kibarua kigumu mno.Umepanua domo lako na kutoa mitusi kwa kitu usichokijua, katiba ya sasa tunayotumia ni matokeo ya sheria zilizoanza kutumiwa na ujeruman baada ya kutawala Tanganyika, mfano wa sheria tulizorithi kwa wajeruman na ambazo zilifanyiwa amendments mbalimbali na nyingine had leo zina contents zao ni Land ordinance (1922), births and deaths registration ordinance (1920) marriage ordinance (1921) company ordinance (1921)
Uache kubwatuka kwny vitu usivyovijua na jitahid kuzuia hisia
Sent using Jamii Forums mobile app
Taahira lingine hili limepatikana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kufanana kwa sheria ndio kufanana kwa katiba? Almost the whole world judicial systems are the most related to the ancient roman empire conducts of govern kwa hiyo dunia nzima tumerithi katiba ya ancient roman empire?
Do you know anything about Canon Laws?
Acha tu bana. Ubishi wa kitoto na watu ambao hawana ufahamu wa masuala msingi kuhusu katiba na sheria ni kibarua kigumu mno.
Jiwe hata kwenye Korosho aliropoka huo huo ujinga kuwa hapangiwi cha kufanya, nini kimetokea?Maajabu kwelikweli,kuna watu watakuwa wamefurahia taarifa hii,lkn Stone alishasema hapangiwi na ukimpangia ndo umeharibu kabisa,pia alisema kuna watu hawafurahii huo mradi nazani wameshajotokeza, alishasema huo mradi lazima ujengwe!
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ We bongolala ulipata lini hiyo shule ya sheria? Bush lawyer? Eti kisa kuna baadhi ya capes kwenye constitution yetu vina mfanano na baathi ya mataifa basi katiba yetu ni yao? Acha upimbi we fala huna unachokijua kuhusu laws wala constitution, kwa taarifa yako duniani kote laws are sourced from the almost one common cradle kwa hiyo kisa eti kuna mfanano wa sheria zetu na German does not mean we have exactly what Germany call constitution sababu hata ya Germany na UK they have the same thing we share all.Mjinga siongelei mfanano wa legal system bali naongelea historia ya sheria na katiba ya Tanzania. Historia inaonesha sheria na katiba yetu chanzo chake ni Germany ordinances at pre colonial era
Ulivyo mjinga unatanua mdomo kubishana na mtu aliekaa darasan na kusomea legal systems huku ww hujui lolote kuhusu sheria za Tanzania zaid ya kuwa na mwanga kidogo ulopewa na mwalim wako wa civics
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bado hujajibu hoja yangu kuhusu constituent assembly iliyofungwa 1977, naona unamtumia huyo boya kama escaping mechanisms kuhalalisha pumba zako.Acha tu bana. Ubishi wa kitoto na watu ambao hawana ufahamu wa masuala msingi kuhusu katiba na sheria ni kibarua kigumu mno.
Kama hujaelewa lolote hadi sasa hivi sina huo muda wa kupigia mbuzi gitaa.Wewe bado hujajibu hoja yangu kuhusu constituent assembly iliyofungwa 1977, naona unamtumia huyo boya kama escaping mechanisms kuhalalisha pumba zako.
Acha kuhamisha goal post, ni nani hajui kwamba Ke, Ug na Tz(East Africa Protectorate) tulikuwa koloni la muingereza hizo enzi nchi za ukanda huu zilipopata uhuru? Nimetumia jina mkoloni 'in general' katiba mnayoitumia hadi sasa hivi iliandikwa kutumia version ya muingereza, 'Westminster model'. Imefanyiwa 'ammendments', marekebisho pekee yake, mara kadhaa. Sasa ni jukumu lako kutuonesha hiyo katiba mpya unayosema mliandika.
ππππππππKama kuna jambo ambalo nampendea Magufuli wetu ni kwamba huwa hacheki na hizi ngozi nyeupe. Hapo nampa kongole baba yetu, tuko nyuma yako tunakupa sapoti.
Kama kuna jambo ambalo nampendea Magufuli wetu ni kwamba huwa hacheki na hizi ngozi nyeupe. Hapo nampa kongole baba yetu, tuko nyuma yako tunakupa sapoti.
ππππ Nishamsoma kitambo hana hili wala lile me mwenyewe Nilikua nimemuandalia nondo za fundamental govern laws lakini nikaona ni kama nitapakia mzigo wa semi trailer kwenye tray la mayai, I reserved.Ahaaa haaa haaa
unazidi kudanganya wajuvi. hivi wewe kweli umewahi iona katiba ya uingereza?
CC: REDEEMER. nimemchokoza ili aje mzima mzima nimmalize na comparative law facts.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We bongolala ulipata lini hiyo shule ya sheria? Bush lawyer? Eti kisa kuna baadhi ya capes kwenye constitution yetu vina mfanano na baathi ya mataifa basi katiba yetu ni yao? Acha upimbi we fala huna unachokijua kuhusu laws wala constitution, kwa taarifa yako duniani kote laws are sourced from the almost one common cradle kwa hiyo kisa eti kuna mfanano wa sheria zetu na German does not mean we have exactly what Germany call constitution sababu hata ya Germany na UK they have the same thing we share all.
Katiba ni zaidi ya sheria zinazofanana unazozijua wewe.
ππππ Kumbe wakenya wakikaa kwenye mazingira tulivu wanakuwaga na akili hivyo π π π huyo lazima atakua ndani ya mipaka ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Afrika ingekuwa na kina Magufuli 10 tu, dunia ingeanza kutuelewa kama China inavyojulikana.
ππππ We ni fala tu Kwani ni siri?Ngoja niendelee kukupa shule we mchambaj wa jf. Sa hz umeanza kuwa mpole baada ya kugundua umekutana gwiji wa constitutional laws
Kwanza kwny lugha ya kisheria hatuna uchafu unaitwa capes, ile imaitwa cap ambayo imetoholewa kutoka lugha ya kilatini cupitulus yaan chapter. Haya nimekufundisha adabu usipende kubwatuka kwny tasnia ambazo huna ujuzi nazo huku ukitanguliza matusi. Haya mambo ya katiba ni somo gumu ambapo ubongo kama wako uliozoea kukariri vishazi hautoweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa haaa haaa
unazidi kudanganya wajuvi. hivi wewe kweli umewahi iona katiba ya uingereza?
CC: REDEEMER. nimemchokoza ili aje mzima mzima nimmalize na comparative law facts.