Afrika kazi bado ipo, nimeshangaa kwamba Tanzania bado ni koloni la Ujerumani

redeemer hiyo ndio 'katiba mpya' ya Tz ya 1977? [emoji15] Bure kabisa we jamaa! [emoji1]
Kitu cha 1977 ni kipya leo 2019?
Umesema katiba tuliyonayo saivi ni piles of ammendments

Sasa nataka kujua kama unajua maana ya constituent assembly?

Our 1977 constitution is the product of constituent assembly sat that time of more than 300 members took over 2 years, hivi ammendments zinafanyika kwa kuitisha constituent assembly au normal legislative bill tabling process juu ya ammendment of the certain particular law?

Is constituent assembly same to normal legislation assembly?
 
Umepanua domo lako na kutoa mitusi kwa kitu usichokijua, katiba ya sasa tunayotumia ni matokeo ya sheria zilizoanza kutumiwa na ujeruman baada ya kutawala Tanganyika, mfano wa sheria tulizorithi kwa wajeruman na ambazo zilifanyiwa amendments mbalimbali na nyingine had leo zina contents zao ni Land ordinance (1922), births and deaths registration ordinance (1920) marriage ordinance (1921) company ordinance (1921)
Uache kubwatuka kwny vitu usivyovijua na jitahid kuzuia hisia

Sent using Jamii Forums mobile app
Taahira lingine hili limepatikana 😂😂😂😂

Kwani kufanana kwa sheria ndio kufanana kwa katiba? Almost the whole world judicial systems are the most related to the ancient roman empire conducts of govern kwa hiyo dunia nzima tumerithi katiba ya ancient roman empire?

Do you know anything about Canon Laws?
 
Acha tu bana. Ubishi wa kitoto na watu ambao hawana ufahamu wa masuala msingi kuhusu katiba na sheria ni kibarua kigumu mno.
 
Mjinga siongelei mfanano wa legal system bali naongelea historia ya sheria na katiba ya Tanzania. Historia inaonesha sheria na katiba yetu chanzo chake ni Germany ordinances at pre colonial era
Ulivyo mjinga unatanua mdomo kubishana na mtu aliekaa darasan na kusomea legal systems huku ww hujui lolote kuhusu sheria za Tanzania zaid ya kuwa na mwanga kidogo ulopewa na mwalim wako wa civics
Taahira lingine hili limepatikana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwani kufanana kwa sheria ndio kufanana kwa katiba? Almost the whole world judicial systems are the most related to the ancient roman empire conducts of govern kwa hiyo dunia nzima tumerithi katiba ya ancient roman empire?

Do you know anything about Canon Laws?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maajabu kwelikweli,kuna watu watakuwa wamefurahia taarifa hii,lkn Stone alishasema hapangiwi na ukimpangia ndo umeharibu kabisa,pia alisema kuna watu hawafurahii huo mradi nazani wameshajotokeza, alishasema huo mradi lazima ujengwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe hata kwenye Korosho aliropoka huo huo ujinga kuwa hapangiwi cha kufanya, nini kimetokea?
Jeshi limekwama, Wakulima wanalia njaa, Korosho imedoda maghalani msimu wa kuuza korosho unaelekea kwisha.

Jiwe ana ubishi wa kitoto, kijinga na kishamba sana.
 
Mjinga siongelei mfanano wa legal system bali naongelea historia ya sheria na katiba ya Tanzania. Historia inaonesha sheria na katiba yetu chanzo chake ni Germany ordinances at pre colonial era
Ulivyo mjinga unatanua mdomo kubishana na mtu aliekaa darasan na kusomea legal systems huku ww hujui lolote kuhusu sheria za Tanzania zaid ya kuwa na mwanga kidogo ulopewa na mwalim wako wa civics

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 We bongolala ulipata lini hiyo shule ya sheria? Bush lawyer? Eti kisa kuna baadhi ya capes kwenye constitution yetu vina mfanano na baathi ya mataifa basi katiba yetu ni yao? Acha upimbi we fala huna unachokijua kuhusu laws wala constitution, kwa taarifa yako duniani kote laws are sourced from the almost one common cradle kwa hiyo kisa eti kuna mfanano wa sheria zetu na German does not mean we have exactly what Germany call constitution sababu hata ya Germany na UK they have the same thing we share all.

Katiba ni zaidi ya sheria zinazofanana unazozijua wewe.
 
Acha tu bana. Ubishi wa kitoto na watu ambao hawana ufahamu wa masuala msingi kuhusu katiba na sheria ni kibarua kigumu mno.
Wewe bado hujajibu hoja yangu kuhusu constituent assembly iliyofungwa 1977, naona unamtumia huyo boya kama escaping mechanisms kuhalalisha pumba zako.
 
Kama kuna jambo ambalo nampendea Magufuli wetu ni kwamba huwa hacheki na hizi ngozi nyeupe. Hapo nampa kongole baba yetu, tuko nyuma yako tunakupa sapoti.
 
Kama hujaelewa lolote hadi sasa hivi sina huo muda wa kupigia mbuzi gitaa.
 
Acha kuhamisha goal post, ni nani hajui kwamba Ke, Ug na Tz(East Africa Protectorate) tulikuwa koloni la muingereza hizo enzi nchi za ukanda huu zilipopata uhuru? Nimetumia jina mkoloni 'in general' katiba mnayoitumia hadi sasa hivi iliandikwa kutumia version ya muingereza, 'Westminster model'. Imefanyiwa 'ammendments', marekebisho pekee yake, mara kadhaa. Sasa ni jukumu lako kutuonesha hiyo katiba mpya unayosema mliandika.

Ahaaa haaa haaa
unazidi kudanganya wajuvi. hivi wewe kweli umewahi iona katiba ya uingereza?

CC: REDEEMER. nimemchokoza ili aje mzima mzima nimmalize na comparative law facts.
 
Kama kuna jambo ambalo nampendea Magufuli wetu ni kwamba huwa hacheki na hizi ngozi nyeupe. Hapo nampa kongole baba yetu, tuko nyuma yako tunakupa sapoti.
😂😂😂😂😂😂😂😂

Katika siku uliyonifurahisha kuliko siku zote ni leo.

Pata kitu roho inapenda hapo Kibera nakuja kurefund.
 
Ahaaa haaa haaa
unazidi kudanganya wajuvi. hivi wewe kweli umewahi iona katiba ya uingereza?

CC: REDEEMER. nimemchokoza ili aje mzima mzima nimmalize na comparative law facts.
😂😂😂😂 Nishamsoma kitambo hana hili wala lile me mwenyewe Nilikua nimemuandalia nondo za fundamental govern laws lakini nikaona ni kama nitapakia mzigo wa semi trailer kwenye tray la mayai, I reserved.
 
Ngoja niendelee kukupa shule we mchambaj wa jf. Sa hz umeanza kuwa mpole baada ya kugundua umekutana gwiji wa constitutional laws
Kwanza kwny lugha ya kisheria hatuna uchafu unaitwa capes, ile imaitwa cap ambayo imetoholewa kutoka lugha ya kilatini cupitulus yaan chapter. Haya nimekufundisha adabu usipende kubwatuka kwny tasnia ambazo huna ujuzi nazo huku ukitanguliza matusi. Haya mambo ya katiba ni somo gumu ambapo ubongo kama wako uliozoea kukariri vishazi hautoweza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We bongolala ulipata lini hiyo shule ya sheria? Bush lawyer? Eti kisa kuna baadhi ya capes kwenye constitution yetu vina mfanano na baathi ya mataifa basi katiba yetu ni yao? Acha upimbi we fala huna unachokijua kuhusu laws wala constitution, kwa taarifa yako duniani kote laws are sourced from the almost one common cradle kwa hiyo kisa eti kuna mfanano wa sheria zetu na German does not mean we have exactly what Germany call constitution sababu hata ya Germany na UK they have the same thing we share all.

Katiba ni zaidi ya sheria zinazofanana unazozijua wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr. MK254 unajifanya hujui tu kuwa African countries and other third world countries hawana maamuzi kamili ktk masuala mengi ya nchi zao kuna western countries wana influence kubwa. Ujerumani wana haki yao kusema hivyo kwa sababu ni wadau wazuri wa uhifadhi. Ukiona Maasai Mara, Serengeti na Selous zimesimama ujue kuwa kuna mabwana waliwekeza pesa zao kuwekeza.
 
Afrika ingekuwa na kina Magufuli 10 tu, dunia ingeanza kutuelewa kama China inavyojulikana.
😂😂😂😂 Kumbe wakenya wakikaa kwenye mazingira tulivu wanakuwaga na akili hivyo 😅😅😅 huyo lazima atakua ndani ya mipaka ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Ngoja niendelee kukupa shule we mchambaj wa jf. Sa hz umeanza kuwa mpole baada ya kugundua umekutana gwiji wa constitutional laws
Kwanza kwny lugha ya kisheria hatuna uchafu unaitwa capes, ile imaitwa cap ambayo imetoholewa kutoka lugha ya kilatini cupitulus yaan chapter. Haya nimekufundisha adabu usipende kubwatuka kwny tasnia ambazo huna ujuzi nazo huku ukitanguliza matusi. Haya mambo ya katiba ni somo gumu ambapo ubongo kama wako uliozoea kukariri vishazi hautoweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 We ni fala tu Kwani ni siri?
Naona typo imekupa free promotion

Good job, enjoy your new status
 
British wana uncodified constitution ambayo nyie mlioishia kusoma civics mnasema ni unwritten constitution. Though kihistoria the Magna carta of 1215 inatambuliwa kama part of documented Britain constitution. Samahan kwa kutumia lugha za kitaalam

Back
Top Bottom