Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za mda huu wanajukwaa

Kutokana na kazi za uyu bwana SABINUS

ambae jina lake halisi ni EMANUEL CHUKUEMEKA nmeleta andiko hili sio kwa ubaya ila kuuliza wajuvi wa mambo

Kama Kuna yeyote anaejua comedian bora kumzidi aniambie nijaribu kumfuatilia

Maaana uyu jamaa hakika nmetoka kukubali mno kazi zake jinsi alivyo tu ni kituko haswa

Amewateka Hadi wazungu maana naona anapiga sana show UK , na U.S.A

Hili liwe funzo kwa wakongwe wa Tz kina joti nk

Kuwa sio mzikitu unaweza tutangaza hata commedy pia

IMG_20221111_085246.jpg
 
View attachment 2413208

Trevor Noah wa South Africa. Number one!​

Sabinus siyo mchekeshaji, ni komedian tuu wa mtaani kama akina Dulivani.

Yani huyo jamaa ni sawa na kumlinganisha Eric Omondi na Crazy Kenar.

Huyo jamaa ni mtengeneza social media memes tuu lakini hana uchekeshaji wowote.
 
Unachokiongea sjui Kama unakijua mbona Ana piga show nje?
 
Back
Top Bottom