Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

Nijibu kwa hoja.
kitu nachopenda kama commedy. Na movie nazoangamia nying za commedy. Kwenye laptop tu nina series asilimia 90 commedy. Nilinunua external nijaze tu commedy kwa hiyo kama mdau wa commedy Africa hakuna kama Trevor Noah. .

Jamiiforums ni kitovu Cha maarifa, basi America commedy central ni kitovu Cha commedy. Trevor Noah kaajiriwa commedy central America kipindi ambacho kinafatiliwa na watu wengi duniani na yeye ndio kivutio Cha kipindi. .

Tufafanulie Sabinus kamzidi nini Trevor? Muigizaji huwezi mfananisha na mtu anafanya stand up commedy kazi yake ni kuchekesha. Hata jamaa wa Uganda Salvador Yuko mbali sana. .

Ukiachana na movie kukuonyesha nafatilua commedy nitaweka series kuntu za commedy duniani ambazo naweza hata zipiga picha kwa PC uone:
1. Friends
2. Seinfeld
3. Big Bang theory
4. Malcolm in the middle
5. Wonder years
6. Fraiser
7. Brooklyn nine nine
8. Cheers
9. Mom
10. Fresh from the boat
11. Scrubs
12. Bob hears Abishola
13. Boys meet world
14. Guys with kids
15. Melissa and Joey
16 raising hope
17. Shirts creek
18. Marvelous Mrs maisel
19. The office
20. Young Sheldon
21. Atlanta FX
22. That 70s Show
23. Freaks and Geeks
ETC

Kama wewe mdau wa commedy unaweza tolea kigezo gani umepe jamaa number Moja Africa?

Thank you. .
Umeisahau BREAKING BAD ni dark comedy
 
Umeisahau BREAKING BAD ni dark comedy
I am also into dark commedy
BREAKING BAD, nina season complete mpaka ya tano

Ila yule mshikaji walter white ndiye actor ninayemkubali number moja. Nakubali jinsi anavyojua kuvaa uhusika, yuko kwenye commedy moja Malcolm in the middle. .
 
Habari za mda huu wanajukwaa

Kutokana na kazi za uyu bwana SABINUS

ambae jina lake halisi ni EMANUEL CHUKUEMEKA nmeleta andiko hili sio kwa ubaya ila kuuliza wajuvi wa mambo

Kama Kuna yeyote anaejua comedian bora kumzidi aniambie nijaribu kumfuatilia

Maaana uyu jamaa hakika nmetoka kukubali mno kazi zake jinsi alivyo tu ni kituko haswa

Amewateka Hadi wazungu maana naona anapiga sana show UK , na U.S.A

Hili liwe funzo kwa wakongwe wa Tz kina joti nk

Kuwa sio mzikitu unaweza tutangaza hata commedy pia

View attachment 2413208
Uyo hamfikii uyo ya kwenye avat yako

Sent from my SM-J330F using JamiiForums mobile app
 
I am also into dark commedy
BREAKING BAD, nina season complete mpaka ya tano

Ila yule mshikaji walter white ndiye actor ninayemkubali number moja. Nakubali jinsi anavyojua kuvaa uhusika, yuko kwenye commedy moja Malcolm in the middle. .
Nnambie kaka hii malcom ni series?
 
I am also into dark commedy
BREAKING BAD, nina season complete mpaka ya tano

Ila yule mshikaji walter white ndiye actor ninayemkubali number moja. Nakubali jinsi anavyojua kuvaa uhusika, yuko kwenye commedy moja Malcolm in the middle. .
Sasa kama umemaliza breaking bad itafute el camino ni movie unamhusu Jesse Pinkman inamuelezea baada ya kutoroka Eneo la tukio. Then ukimaliza hapo uicheki BETTER CALL SAUL series ingine inamhusu Saul Goodman
 
EL Camino naidownload kesho shukrani
 
kila mtu na flavour zake bana,huko kwa wapopo namkubali kalistus.

kenya njugushi na prof harmo.

uganda kasiime nk

nyumbani hapa ni joti na kingwendu.
 
Kuna mtu kakuambia hapo juu Trevor Noah. Na ukamkataa kuwa hamfikii jamaa wakati humjui. .

Kifupi tu hakuna comedian Africa anayemfikia Trevor Noah. .
Unabishana na mandonga mtu kazi utashinda mkuu?
 
Offduties
IMG_20221122_002847.jpg
 
Back
Top Bottom