Afrika kupokea dozi milioni 220 za chanjo ya Covid-19

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Majaribio ya chanjo kwa binadamu yamekuwa ikiendelea kufanywa Afrika itakayoidhinishwa.

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema chanjo ya Covid-19 itakapoaidhinishwa, Afrika itapata karibu dozi milioni 220 za awali.

Sehemu ya kwanza ya chanjo hiyo itapewa wafanyakazi wa afya na makundi yaliohatarini, kwa mujibu wa meneja mkuu wa mradi huo katika WHO Afrika, Richard Mihigo. Amesema usambazaji wa chanjo hizo utategemea idadi ya watu katika kila nchi.

Bwana Mihigo amesema nchi zote 54 barani humo zimeonesha nia ya kutaka chanjo ya Covid-19. Afrika ina zaidi ya wato bilioni 1.3.

Mpango wa chanjo duniani unaofahamika kama COVAX, inakusudia kusaidia kununua na kusambaza kwa usawa dozi bilioni mbili za chanjo zilizoidhinishwa ifikapo mwisho wa mwaka 2021.

Mpango huo una chanjo tisa ambazo zinafanyiwa majaribio duniani.

Chanjo mbili kati ya hizo zinafanyiwa majaribio Afrika, kwa mujibu wa mkuu wa muungano wa ubunifu wa maandalizi dhidi ya majanga (CEPI) bwana Richard Hatchett
 
Kwanini wasianze na huko ulaya?
Kwa sababu Africa haijachangia mchango wowote kwenye upatikanaji wa chanjo hizo.

Nimesikia jiran anawambia wenzie hvyo
 
Kwanini wasianze na huko ulaya?
Kwa sababu Africa haijachangia mchango wowote kwenye upatikanaji wa chanjo hizo.

Nimesikia jiran anawambia wenzie hvyo
 
Kataeni chanjo mzuiwe kusafiri. Mimi sichanjwi ila nitanunua kadi kuonyesha kuwa nimechanjwa ili nisisumbuliwe ninaposafiri. Nadhani matakumbuka usumbufu wa kadi za YELLOW FEVER huko mipakani.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Daaah asee hawajamaa ni wajinga sana
Kuumwa waumwe wao afu tuchanjwe sisi,
Apa ndio huonyesha kabsa huu ni mpango uliojficha, rais anaekuja akatae huu upuuz atuumwi sisi
 
Tofautisha chanjo na chanjo za majaribio. Halafu utachanjwa wewe kama wewe ukiona unapata vikeazo, ila isiwe kwa mpango wa kitaifa wa chanjo.
 
Daaah asee hawajamaa ni wajinga sana
Kuumwa waumwe wao afu tuchanjwe sisi,
Apa ndio huonyesha kabsa huu ni mpango uliojficha, rais anaekuja akatae huu upuuz atuumwi sisi
Hapa ni wanatafuta panya wa majaribio kabla wao binadamu hawajaanza kuzitumia, washenxi kweli hawa mbwa 😂😂
 
Ndiyo hizi ???
 
Attachments

  • IMG-20200903-WA0010.jpg
    65.4 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…