UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Bwashee, vipi kwenye chama chetu ambapo mtu mmoja ameng'ang'ania madarakani kwa miaka sasa 30?CCM nayo kifo chaja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee, vipi kwenye chama chetu ambapo mtu mmoja ameng'ang'ania madarakani kwa miaka sasa 30?CCM nayo kifo chaja.
Sera za DA zinakinzana na maazimio ya wengi SA na Afrika. DA huwa hawapiti 20% ya kura, Sasa hivi ANC ambayo unaita mafisadi imewapa uwezo wa kutawala SA yote na kuwa na uwezo mkubwa sana Afrika kwenye mambo kama BRICS na mambo yote ya nje. Kama ANC ni mafisadi, wote wengetolewa waweke EFF ama chama kingine kisicho kula rushwa.Hii mitazamo ya kijinga mnaitoa wapi? DA inaungwa mkono na waafrika kusini sababu ya sera zake na wananchi sio wajinga walilinganisha hali ilivokua na ilivo sasa, ANC hii ya wala rushwa na mafisadi haina maajabu yoyote pale