Afrika Kusini: Mahakama yaamuru wahudumu wa Afya kusitisha mgomo

Afrika Kusini: Mahakama yaamuru wahudumu wa Afya kusitisha mgomo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mahakama ya Rufaa ya Kazi Nchini humo imeamuru Wahudumu wa afya kurejea kazini na kusitisha mgomo ulioathiri utoaji na upatikanaji wa huduma katika baadhi ya hospitali kubwa.

Tangu wiki iliyopita, Wanachama wa Chama cha Kitaifa cha Wafanyakazi wa #Elimu, #Afya na Washirika (NEHAWU) wamegoma baada ya mazungumzo kati yao na Serikali juu ya nyongeza mishahara kushindikana.

Jana, Machi 13, 2023 Serikali ilituma Jeshi kutoa huduma katika Vituo vya Afya vilivyoathiriwa na Mgomo huo.

...................

South African court orders healthcare workers to end strike

The South African Labour Appeal Court has ordered striking state healthcare workers to end a weeklong walkout that has affected services in some of the country’s big hospitals, the health department said.

The court interdict on Monday will help stabilise services at the affected hospitals, the department said. Striking workers have been ordered to go back to work by Tuesday morning, it added.

“The strike has disrupted provision of essential healthcare services in the country, leading to untold suffering and frustrations amongst the public who desperately needed healthcare and life-saving treatment,” said South Africa’s Health Minister Joe Phaahla.

Since last week, the National Education, Health and Allied Workers’ Union (NEHAWU) members have been on strike after wage talks with the government failed.

The health department said on Sunday that clinical operations were hamstrung by a low nursing and administrative support staff turnout.

The labour relations act prohibits essential services workers from engaging in strike action which is detrimental to healthcare services with a risk of loss of life, he told a press briefing.

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom