AFRIKA KUSINI: Matamasha ya Kofi Olomide yafutwa, atuhumiwa kwa kumbaka mnenguaji wake

kofi anapenda sana ngono toka enzi hizo amemuoa mnenguaji wa bozi boziana bibie scola miel
 
Hivi Koffi bado wako na Cindy? Mara ya Mwisho nilimuona hapa France kwenye Tamasha La Le Live Wakiwa Wote na Olomide Didi pia alikuwepo
 
Mkuu mbona unateseka hivyo[emoji23][emoji23]
 
Apart N Majanga Yanayompata Koffi Olomide Ambayo Ni Sehemu Ya Kawaida Kwa Mwanaume Yoyote Rijali, hakuna aliefanya consistency ya nyimbo nyingi kuwa juu kama koffi.Tukubali tu wakuu hakuna kama Koffi kwenye muziki wa boringo.
 
Duu hatimaye koffi naye kawa mzee, muda unakwenda Kasi Sana aise
 
Siku zote ukweli unauma mkuu hata mimi huyu mzee namfollow sana. Namchukia sana mtu asiyethamini asili yake. Leo tuna Mbwana Samatha lakini tayari anajenga msikiti kwa ajili ya Watz wezake japo ana uwezo wa kubadiri hata uraia na kubaki huko. Koffi alikuwa hakanyagi Ufaransa baada ya kuwa na kesi ya kujibu na alikuwa anaumia kiasi kwamba hata afya ilikuwa imeyumba siku anashinda kesi na kwa mara ya kwanza kukanyaga tena Paris alitamani kuibusu ardhi ya Ufaransa. Fuatilia mtu anaitwa Lubonji wa Lubonji ndipo huyu mzee utamfahamu zaidi.
Mkuu mbona unateseka hivyo[emoji23][emoji23]
 
Mopao noma, Ukisikiliza vibao vya Magie, Loi, petit na London, Micko, Ultimatum aaaah utadhani vimefyatuliwa mwezi uliopita, Mopao dunia nyingine, acheni tu.
 
 
Ana uwezo mkubwa wa kutunga nyimbo zenye hisia na kumgusa kila mtu lkn fahamu kuna vijana chipukizi ambao wanatesa sana kwa nyimbo kali na zenye kusisimua. Usikilize wimbo "Rèalite wa Ferre na pacha wake Fally walizotoa hivi karibuni. Pia kuna wakali ambao hawafahamiki Afrika Mashariki sababu ya kutokuja kupiga show mfano mzee Felix Wazekwa mbona hapa Mopao lazima asimame kwa huyu mzee
Mopao noma, Ukisikiliza vibao vya Magie, Loi, petit na London, Micko, Ultimatum aaaah utadhani vimefyatuliwa mwezi uliopita, Mopao dunia nyingine, acheni tu.
 
Papaa Mopao,, kiukweli huyu jamaa anastahili sifa zake. Toka nimeanza kuifahamu albamu yake Maggie na kundi la Quartier Latin enzi nikiwa nimeanza shule ya msingi mpaka leo hii bado jamaa yupo ktk ubora wake ule ule. Kundi lake la Quartier Latin ambalo liliasisiwa kitambo hicho 1986 limetoa wasanii wengi sana wanaofanya vizuri kama Fally Ipupa, Ferre Golla nk ambao kwa sasa hawapo tena kundini, ila cha kufurahisha zaidi ni ule upendo na ushirikiano wanaoendelea kuoneshana baina yao kwa mfano mwaka 2016 Fally Ipupa aliorganize tamasha la 30th Annivessary ya lililokuwa kundi lao la Quartier Latin wasanii wengi waliopitia kundi hilo akiwemo the founder himself Papaa Mopao alishiriki vizuri sana. Ila Koffi Olomide Ngoma zake za miaka ya hivi karibuni Abracadabra na Danger De Mort nazikubali sana!
 
Akili za kimaskini shida sana, sasa we unataka afanye mambo ya Serikali na yenyewe itafanya nn, we kama huna pesa zitafute ukimuombea Mabaya Koffi unapoteza muda wako bure
 
Kama ni Ubakaji mbona huko South wanabakana sana, Wasichana hao Dancers wakati wanampa Koffi Mbunye hawakulalamika alivyowaondoa katika Band wakajifanya kufungua mashtaka miaka. Jiulize miaka yote walikuwa wapi?
 
Kama ni Ubakaji mbona huko South wanabakana sana, Wasichana hao Dancers wakati wanampa Koffi Mbunye hawakulalamika alivyowaondoa katika Band wakajifanya kufungua mashtaka miaka. Jiulize miaka yote walikuwa wapi?
Ni Wajinga Wachache Wanaoamini Kwamba Mwanamke Mwenye Akili Zake Anabakwa
 
Akili za kimaskini shida sana, sasa we unataka afanye mambo ya Serikali na yenyewe itafanya nn, we kama huna pesa zitafute ukimuombea Mabaya Koffi unapoteza muda wako bure
Naweza kukulisha wewe na chaguD wako. Huwezi kunizuia kuelezea kile ambacho baba yako Koffi alivyo na jamii ya Congo inavyomchukulia bata wewe
 
Msenge we huna pesa, unaskini unakusumbua, watu mlio na ziki ndo hupenda kuombea mabaya wenye pesa. Fanya kazi umaskini unakutesa, hiyo roho mbaya ukipata pesa itakuisha
Naweza kukulisha wewe na chagudoa wako. Huwezi kunizuia kuelezea kile ambacho baba yako Koffi alivyo na jamii ya Congo inavyomchukulia bata wewe
 
Jamaa ana kipaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…