AFRIKA KUSINI: Matamasha ya Kofi Olomide yafutwa, atuhumiwa kwa kumbaka mnenguaji wake

Msenge we huna pesa, unaskini unakusumbua, watu mlio na ziki ndo hupenda kuombea mabaya wenye pesa. Fanya kazi umaskini unakutesa, hiyo roho mbaya ukipata pesa itakuisha
Basha wako ndo huyo hapo sasa kapigwa ban na anawadaganya tarehe zimesongezwa mbele huku mabango yakirudishwa kwenye mabox
 
Wewe una akili gani kuhusu kupingana na kashifa za huyu mzee? Una akili timamu umpige dancer airport mbele ya waandishi wa habari je huko gizani yukoje?
Mtu anatoa mashine mwenyewe baadaye akiishiwa pesa anatengeneza kesi ya kubakwa
 
Jamaa ana kipaji sana
Nyimbo za Mopao anaanza Na Maneno Qoudra Kora Maana yake Mshindi Wa Tuzo 4 za Kora Afrika, Halafu Anasikaga Anataja Neno Tabou/Tabu Fatu Kwenye Nyimbo zake, Huyo ni mlimbwende kidunia kwa maana ya Top model kutoka DRC.
 
We huoni kesi za kubakwa na watu maarufu zimekuwa nyingi? Kama mtu analeta za kuleta anapewa makonde.
Wewe una akili gani kuhusu kupingana na kashifa za huyu mzee? Una akili timamu umpige dancer airport mbele ya waandishi wa habari je huko gizani yukoje?
 
Kuna siku atastukia yuko jela abaki anajishangaa! unajua pesa hua inamsemesha mtu japo haitoi sauti,badala azeeke kwa kheri na heshima lenyewe linajifanya bado eti likijana libaunsa.ngoja siku moja litastukia liko geleza la Butimba badala ya ya huko Congo wala Paris
 
Apart N Majanga Yanayompata Koffi Olomide Ambayo Ni Sehemu Ya Kawaida Kwa Mwanaume Yoyote Rijali, hakuna aliefanya consistency ya nyimbo nyingi kuwa juu kama koffi.Tukubali tu wakuu hakuna kama Koffi kwenye muziki wa boringo.

Hapa mkuu naona ni "Mahaba niue". Furahia muziki wa Koffi ni mzuri lakini si kweli kwamba hakuna kama Koffi kwenye muziki wa bolingo. LoL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…