Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
HahahaaaaMsenge we huna pesa, unaskini unakusumbua, watu mlio na ziki ndo hupenda kuombea mabaya wenye pesa. Fanya kazi umaskini unakutesa, hiyo roho mbaya ukipata pesa itakuisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaaaMsenge we huna pesa, unaskini unakusumbua, watu mlio na ziki ndo hupenda kuombea mabaya wenye pesa. Fanya kazi umaskini unakutesa, hiyo roho mbaya ukipata pesa itakuisha
Basha wako ndo huyo hapo sasa kapigwa ban na anawadaganya tarehe zimesongezwa mbele huku mabango yakirudishwa kwenye maboxMsenge we huna pesa, unaskini unakusumbua, watu mlio na ziki ndo hupenda kuombea mabaya wenye pesa. Fanya kazi umaskini unakutesa, hiyo roho mbaya ukipata pesa itakuisha
Mtu anatoa mashine mwenyewe baadaye akiishiwa pesa anatengeneza kesi ya kubakwa
Anatakiwa aamini pesa haiwezi kumfanya afanye ujinga hususani nchi zisizopokea kitu kidogoAkamuulize R Kelly yanayomkuta, aache upuuzi
Nyimbo za Mopao anaanza Na Maneno Qoudra Kora Maana yake Mshindi Wa Tuzo 4 za Kora Afrika, Halafu Anasikaga Anataja Neno Tabou/Tabu Fatu Kwenye Nyimbo zake, Huyo ni mlimbwende kidunia kwa maana ya Top model kutoka DRC.Jamaa ana kipaji sana
Wewe una akili gani kuhusu kupingana na kashifa za huyu mzee? Una akili timamu umpige dancer airport mbele ya waandishi wa habari je huko gizani yukoje?
Matamasha mawili ya mwanamuziki Nguli wa miondoko ya Rumba nchini DRC Kofi Olomide yamefutwa huko nchini Afrika Kusini kutokana na kukutwa na makosa ya ubakaji hivi karibuni dhidi ya mnenguaji wake.
Olomide mwenye umri wa miaka 62 ambae jina lake halisi ni Antoine Agbepa Mumba alitarajiwa kuwa na tamasha katika ukumbi wa Gallagher Convention Centre nje kidogo ya jiji la Johannesburg June 28 pamoja na lingine katika ukumbi wa the Shimmy Beach Club huko Cape Town siku mbili baadaye.
Baada ya kampeni ilioendeshwa kwenye mitandao ya kijamii, hatimae mkurugenzi wa ukumbi wa Gallagher Convention Center, Charles Wilson amesema katika taarifa yake kwamba tamasha la Koffi Olomide limefutwa.
Wakati huo, huo ukumbi wa Shimmy Beach nao umetangaza mapema kwamba tamasha la Koffi Olomide limefutwa.
Mwezi Machi mahakama ya jijini paris ilimuhukumu Olomide kifungo cha miaka 2 baada ya kesi ambayo hata hivyo hakuhudhuria.
Hata hivyo mahakama hiyo ilimfutua tuhuma za unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanenguaji wengine 3 nyumbani kwake jijini Paris mwaka 2002-2006.
Olomide aliwahi kutiwa mbaroni kwa muda mfupi mwaka 2016 baada ya kumpinga mnenguaji wake jijini Nairobi nchini Kenya ambapo alihukumiwa kifungo cha mieizi mitatu jela mwaka 2012 baada ya kumpiga mtengenezaji wa muziki wake.
Polisi nchini Zambia inamtafuta Koffi Olomide kwa kosa la kumpiga mpiga picha rais wa Rwanda jijini Lusaka nchini Zambia mwaka 2012.
Apart N Majanga Yanayompata Koffi Olomide Ambayo Ni Sehemu Ya Kawaida Kwa Mwanaume Yoyote Rijali, hakuna aliefanya consistency ya nyimbo nyingi kuwa juu kama koffi.Tukubali tu wakuu hakuna kama Koffi kwenye muziki wa boringo.
Natamani nikuone ukifanya yako kama hawa 😎