GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani Nkhiiii!
Kampeni zitaenda kitanda kwa kitanda...
Ngoja niagize popcorn nisubiri maoni ya wachangiaji. johnthebaptist. njoo huku ujibu swali.“Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM
East Africa Television - News
Kama Kauli hii imetolewa tu 'Kisiasa' zaidi kuelekea katika Kampeni za Uchaguzi huu ujao wa 2020 naikubali, ila kama ni ya Kweli ninamkatalia JPM.
Shuka kwa shuka!Yaani Nkhiiii!
Kampeni zitaenda kitanda kwa kitanda...
Ngoja niagize popcorn nisubiri maoni ya wachangiaji. johnthebaptist. njoo huku ujibu swali.
Inawezekana bwashee labda hilo neno " haraka" ndio limemtisha Genta!Ngoja niagize popcorn nisubiri maoni ya wachangiaji. johnthebaptist. njoo huku ujibu swali.
Alisema hivyo mkuu?Wanawake waturuhusu hasa tukienda kufanya kampeni kwenye vitanda vyao
Unatuhakikishia watazamaji na wasikilizaji 2025 Tanzania itakuwa kama ulayaInawezekana bwashee labda hilo neno " haraka" ndio limemtisha Genta!
Kufikia maendeleo ya uchumi wa juu ni swala la mchakato 2025 tunapaswa kuifikia per capita ya $ 3000!Unatuhakikishia watazamaji na wasikilizaji 2025 Tanzania itakuwa kama ulaya
Kwa aina ya mipango tuliyo nayo kama taifa hata miaka 100 hatuioni Afrika ya kusini maana tunaamini katika vitu hatujawekeza katika watu (ELIMU,KILIMO AFYA) Ndio mhimili mkuu wa maendeleo mengine ni mbwembwe tuHakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nakichukia katika Maisha yangu kama Uwongo na Unafiki. Ili uitamani Namba 10 kwanza itamani Namba 2.
Huu ni uongo niambie ni sekta gani ambayo serikali imewekeza ili kufika hilo lengo, ili ufikie maendeleo lazima uwekeze katika watu kwenye Elimu, Kilimo na Afya haya yote mmeyatupa kapuni mmewekeza katika miundombinu tu na kuacha 85% hawajui hata kesho yao.Kufikia maendeleo ya uchumi wa juu ni swala la mchakato 2025 tunapaswa kuifikia per capita ya $ 3000!