Afrika Kusini: Serikali Kunyakua Ardhi Kwa Nguvu kutoka Kwa Wazungu Bila Fidia

Afrika Kusini: Serikali Kunyakua Ardhi Kwa Nguvu kutoka Kwa Wazungu Bila Fidia

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake. Pia Soma Watu weusi Afrika Kusini waache kujifaragua. Bila wazungu hayo maendeleo na uchumi utabaki ndoto

View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0

My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.

Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.

Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
 
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.

View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0

My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.

Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.

Yetu macho.

Hili sasa si jambo jema na kama Sheria hiyo itatekelezwa mawazo haya yananijia kichwani

Many innocent people will get hurt, many hardworking people will lose jobs, the economy will suffer and racial tension would become worse than it already is. The pain and heartache of South Africa’s past will happen all over again, repeating the cycle of hate. Hate that will destroy the country. When a government has to do anything ‘by force’ one has to realise just how out of control they really are.

This is a very sensitive topic currently and as a South African it is close to my own heart. It has led to a lot of heartache and pain to all South Africans. I think that without proper leadership to unite the county there will certainly be bloodshed and more people will get hurt. I am not sure if it would lead to civil war at first, but there will be many terrorist type attacks (as there has already been), civilian casualties and violent riots (that happens regularly).

I believe that it will lead to fighting and schism. The innocent and powerless will suffer the most. The ones who have worked the hardest to bring peace and prosperity will lose the most. I pray it won’t come to that. Only time will tell.

South Africa has the power to become a powerful leading country; the heart of Africa itself, filled with riches and culture the rest of the world can only dream of. She is like a mother with open hands and a singing voice, welcoming all. But first she has to fix her own shattered heart and plant the seeds of peace in the hearts of all her children. Even the adopted ones like myself.
 
Umesoma msemaji wa Rais alivyosema?
Mbona kama tofauti
Hata hivyo kama watachukua mashamba nani atayaendeleza? Mwafrika? Sidhani
Ya Zimbabwe ni juzi tu tulishuhudia walivyoyaharibu baada ya kuyachukua mpaka matrekta waliuza kama chuma chakavu
Swimming pool zilijaa vyura baada ya mda tu

Umasikini ni Laana
Kataa umasikini
 
Na yamerudishwa tena Kwa Wazungu
 
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.

View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0

My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.

Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.

Yetu macho.

Serikali nyingi za Afrika zinakwepa majukumu yao ya msingi ya kukuza uchumi na kuzalisha ajira kwa wananchi wao, zinabaki kuwalaumu wazungu kisa wana mashamba makubwa.

Ukiuliza ni kwa kiasi Serikali ya Afrika Kusini imesaidia upatikanaji wa ajira na maendeleo ya kiuchumi kwa Raia wao baada ya makaburu kuwaachia utawala hakuna cha maana utajibiwa.

Wamebaki kujificha nyuma ya kichaka cha makaburu miaka 30 sasa. Mbaya zaidi wamejipa majukumu ya kupigania haki za watu wengine huku raia wao wakitaabika.
 
Back
Top Bottom