Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mwafrika hawezi kuyaendeleza hata siku mojaNa yamerudishwa tena Kwa Wazungu
Tukubali tu tumefeli kwenye maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwafrika hawezi kuyaendeleza hata siku mojaNa yamerudishwa tena Kwa Wazungu
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho.
So?Nakukumbusha tu South Africa ni BRICS
Usitegemee kilichowakuta Zimbabwe kitokee. Use your brain well ndugu
Pole sana ,kazi imeanza 👇 👇Usitegemee kilichowakuta Zimbabwe kitokee. Use your brain well ndugu
Pole sana ,kazi imeanza 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
Kunazidi kuchangamka 😁😁👇👇Zimbabwee mpya inakuja japo itachelewa kidogo Ramaphosa anaenda kuiharibu nchi
Wameanza kuvimba 😁😁👇👇Hata anguko la Zimbabwe lilianza kama south Africa,,
Tuwape muda.
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
Ndio maana Afrika hatuendelei, tunachukiana wenyewe kwa wenyewe, ona huyu jamaa.Hawa SA hua wanajiona wana upeo mkubwa sana sababu ya namna nchi yao ilivyoendelea wakati wazungu ndio ma-admin wa hayo maendeleo.