ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ngoja mihemko itawapa majibuHawa SA hua wanajiona wana upeo mkubwa sana sababu ya namna nchi yao ilivyoendelea wakati wazungu ndio ma-admin wa hayo maendeleo.
Hili sasa si jambo jema na kama Sheria hiyo itatekelezwa mawazo haya yananijia kichwaniRais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho.
Usichokijua hakuna nchi Africa yenye raia wa kizungu wengi kama South Africa na wanamiliki hayo mashamba Sasa unamnyang'anyaje shamba raia wa nchi yako?Tutashitakiwa MIGA ~~~~Lisu
Kuna kitufe wakikiminya tu wataporomoka wajuteHawa SA hua wanajiona wana upeo mkubwa sana sababu ya namna nchi yao ilivyoendelea wakati wazungu ndio ma-admin wa hayo maendeleo.
Wasisahau ya ZimbabweKumbe South Afrika Ardhi siyo mali ya Rais kama ilivyo Hapa kwetu? Ardhi haiwezi kuwa ya wazungu ndani ya Afrika lazima airudishe ardhi kwa wananchi.
Na yamerudishwa tena Kwa WazunguUmesoma msemaji wa Rais alivyosema?
Mbona kama tofauti
Hata hivyo kama watachukua mashamba nani atayaendeleza? Mwafrika? Sidhani
Ya Zimbabwe ni juzi tu tulishuhudia walivyoyaharibu baada ya kuyachukua mpaka matrekta waliuza kama chuma chakavu
Swimming pool zilijaa vyura baada ya mda tu
Umasikini ni Laana
Kataa umasikini
Serikali nyingi za Afrika zinakwepa majukumu yao ya msingi ya kukuza uchumi na kuzalisha ajira kwa wananchi wao, zinabaki kuwalaumu wazungu kisa wana mashamba makubwa.Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho.
WatamuuaRais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.