Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mwafrika hawezi kuyaendeleza hata siku mojaNa yamerudishwa tena Kwa Wazungu
Nakukumbusha tu South Africa ni BRICSRais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho.
So?Nakukumbusha tu South Africa ni BRICS
Usitegemee kilichowakuta Zimbabwe kitokee. Use your brain well ndugu
Pole sana ,kazi imeanza π πUsitegemee kilichowakuta Zimbabwe kitokee. Use your brain well ndugu
πππ Kazi imeanzaPole sana ,kazi imeanza π π
View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
Kunazidi kuchangamka ππππZimbabwee mpya inakuja japo itachelewa kidogo Ramaphosa anaenda kuiharibu nchi
Wameanza kuvimba ππππHata anguko la Zimbabwe lilianza kama south Africa,,
Tuwape muda.
Hapana sio kweli,sheria imepitishwa bungeni,na imeundwa tume ambayo ndio itakayosimamia uchukuliwaji wa ardhi toka kwa wazungu na kugawiwa waafrika,na kuna fidia na pia kuna option ya kwenda mahakamani iwapo mtu hataridhika na kiwango cha fidiaRais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko ππ
View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
Yatakuwa mambo ya Zimbabwe!Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko ππ
View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
Ndio maana Afrika hatuendelei, tunachukiana wenyewe kwa wenyewe, ona huyu jamaa.Hawa SA hua wanajiona wana upeo mkubwa sana sababu ya namna nchi yao ilivyoendelea wakati wazungu ndio ma-admin wa hayo maendeleo.