Afrika Kusini: Wabunge wapinga Trevor Noah kulipwa Bilioni 4.2 kwa Video ya Dakika 5 ya Kutangaza Utalii wa Nchi hiyo

Afrika Kusini: Wabunge wapinga Trevor Noah kulipwa Bilioni 4.2 kwa Video ya Dakika 5 ya Kutangaza Utalii wa Nchi hiyo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
1694177481152.jpeg

Pendekezo la kumlipa Trevor Noah Randi Milioni 33 sawa na takriban Tsh. Bilioni 4.2 kwa Video ya Dakika 5 ili kuitangaza South Africa kama Kivutio cha Kitalii, limesababisha mpasuko baada ya baadhi ya Wabunge na Wananchi kupinga kwa kudai kuwa Nchi hiyo inapitia Mgogoro mkubwa wa kifedha kwa wakati huu.

Akitoa pendekezo hilo, Waziri wa Utalii, Patricia de Lille amesema kuwa Mcheshi na Mtangazaji huyo atalipwa na Baraza la Biashara la Utalii nchini humo (Shirika Mwamvuli linalowakilisha wadau wa Usafiri na Utalii wa Nchi hiyo), na sio kwa fedha za Umma.

Hata hivyo, wadau wengine wameunga mkono pendekezo hilo wakisema ushawishi wa Nyota huyo unaweza kukuza Utalii wa Afrika Kusini.

...........

A proposal to pay Emmy-winning comedian Trevor Noah 33 million rand ($1.7m, £1.3m) to promote South Africa as a tourist destination has caused a storm in the country.

South Africa’s Tourism Minister Patricia de Lille informed parliament of plans to pay Noah to feature in a five-minute video advertising South Africa’s tourism.

Many MPs have opposed the suggestion, but Ms de Lille says that the South African comedian and TV host will not be paid using public funds.

She said that he would be paid using private funds from the Tourism Business Council of South Africa, an umbrella organisation representing the country’s travel and tourism stakeholders.

Some South Africans have also criticised the planned deal via social media saying the deal is futile. While others claim its timing is insensitive as many South Africans are struggling financially.

“We expect the government not to waste money we don't have on useless things. We don't care what he is, the country is in shambles. No electricity, no employment but they have 33 million to give to Trevor Noah. What has Trevor Noah contributed to the betterment of this country,” one Twitter user asked.

However, other South Africans argue that Noah’s Hollywood star power could boost South Africa’s tourism.

In March this year, Noah and tennis legend Roger Federer, who both have joint South African and Swiss nationalities, starred in a campaign promoting Switzerland as a travel destination.
Article share tools
 
Pendekezo la kumlipa Trevor Noah Randi Milioni 33 sawa na takriban Tsh. Bilioni 4.2 kwa Video ya Dakika 5 ili kuitangaza South Africa kama Kivutio cha Kitalii, limesababisha mpasuko baada ya baadhi ya Wabunge na Wananchi kupinga kwa kudai kuwa Nchi hiyo inapitia Mgogoro mkubwa wa kifedha kwa wakati huu...
Mambo huwa yanafanywa kitaalamu, ikiwa wenye taaluma zao wamepitisha hilo jambo kwanini lipingwe?
"Excellence is never an accident", by Aristotle.
 
Back
Top Bottom